Swahili Service

MWALIKO WA USHIRIKA

SOMO:  HESABU 10:29-32 UTANGULIZI Biblia ni kitabu cha mialiko mikuu. Katika Biblia Mungu anaendelea kuwaalika watu wamjie na kushiriki katika kazi yake. Katika somo hili Musa anaongea na mtu kwa jina Hobabu. Hobabu alikuwa mkwe wake Musa. (Waamuzi 4:11) Hobabu kwa jina linguine aliitwa Yethro kuhani mkuu wa Midiani (Kutoka 18). Yethro alimtembelea Musa na …

Continue Reading