AKILI ZA KUJUA NYAKATI ZA MUNGU Swahili Service

KUJUA NYAKATI ZETU

I MAMBO YA NYAKATI 12:32; UFUNUO 1:8; MATHAYO 6:34 UTANGULIZI Maisha ni hesabu ya nyakati vupi. Kufaulu ni kuishi kila wakati kulingana na mapenzi ya Mungu. Hebu tujifunze:- I.  KUJUA NYAKATI ZETU (Mambo ya nyakati 12:32) “Wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende.” walijua nyakati walizoishi . Ikiwa hatufahamu mila, …

Continue Reading
RESURRECTION SUNDAY

HAIKUWEZEKANA KRISTO ASHIKWE NA KABURI

MATENDO 2:22-28 UTANGULIZI Mwokozi Yesu Kristo aliuona uchungu wa mauti. Mwili wake ulikufa kweli, kweli. Lakini Kristo hakuona uaribifu maana Kristo alikuwa bila dhambi, dhambi ndio huleta uaribifu na kuoza na wadudu waletao kuoza. Hivyo mwili wa Kristo ulikombolewa na ufufuo ,Kristo asishikwe na kaburi. Kaburi inashika watu, ili mauti yafanye kazi kamilifu. Mfalme            Theodosius …

Continue Reading
GOOD FRIDAY

THE WAY OF THE CROSS

I CORINTHIANS 1:17-18 INTRODUCTION Good Friday 2000 years ago was a very eventful day for our Lord Jesus Christ. He went through three religious Judgements: Annas, Caiaphas and the Sanhedrin. He then went through three legal and political judgments; Pilate, Herod and Pilate a second time. They beat Him and mocked Him. On the cross, …

Continue Reading