Swahili Service

MUNGU, TALAKA NA BIBLIA

MFULULIZO: MUNGU IN UPENDO SOMO:   MALAKI 2:10-16, YEREMIAH 3:6-8, MATHAYO 19:9            Talaka ni jambo linalo husu watu wote. Wengine hapa wamepitia kwa njia moja hau nyingine talaka. Pengine wazazi, watoto, jirani hau washirika wamekuhusisha katika ndoa zao na shida za ndoa zao. Biblia imenena mengi juu ya ndoa, talaka na ndoa za pili. Hebu …

Continue Reading
Youth Service

PAY ATTENTION

SERIES: JESUS CHRIST IS GREATER AND BETTER TEXT: HEBREWS 2:1-4 “Therefore we must give the more earnest heed to the things we have heard, lest we drift away.” Teachers are always telling their pupils or students to pay attention. Commanders tell their soldiers attention. When you hear the word “attention” your mind is being called …

Continue Reading
Swahili Service

MUNGU NI UPENDO

MFULULIZO:UPENDO WA MUNGU SOMO:   MALAKI 1:1-5 Upendo wa Mungu ndio ujumbe wa katikati katika Biblia. Malaika alianza unabii wake na neno la upendo wa Mungu. “Nimewapenda ninyi, asema Bwana” lakini watu walikuwa wamerudi nyuma wakamwambia Mungu “umetupendaje?” walikuwa wamepoteza upendo wao kwa Mungu wao. Hivyo Mungu alianza kuwaeleza jinsi alivyowapenda tangu wakati wa Yakobo na …

Continue Reading