Swahili Service

URITHI WETU NI WA MILELE

MFULILIZO: URITHI USIOHARIBIKA MILELE SOMO:   I PETER 1:1-5 Je,Nanga ya kushika wakati wa majaribio na mateso katika maisha yetu ni nini?Je imani yako  ikoje wakati maisha yamekuwa magumu sana? Leo twajifunza kifunguo cha kustahimili wakati wa shida. Kumbuka uridhi wetu katika Yesu Kristo ni wa milele. Petro aliandika kwa kanisa lililokuwa katika mateso, kuchukiwa …

Continue Reading
Swahili Service

SIKU YA HUKUMU YAJA

MFULILIZO: MUNGU NI PENDO SOMO:   MALAKI 4                      Tangu dunia hii kuumbwa kumekuwa na siku ya hukumu ya Mungu juu ya watu wake na mataifa ya ulimwengu. Lakini kuna siku ya hukumu ya mwisho. Siku hio inaitwa “siku ya Bwana” siku hio inakuwa mwanzo wa hukumu, kilio na kuomboleza kwa wote wasio okoka. Katika vita vya …

Continue Reading