Uncategorized

KANISA MAUTUTI.

MAKANISA SABA YA UFUNUO UFUNUO 3:1-6. Maisha yamejaa mambo baridi na ukweli mgumu sana! Kwa mfano, kuna wakati lazima kufanya uamuzi kuhusu maisha ya mpenzi wako, awe mtoto, mama, baba, mume, au mke. Kuna wakati miili hii yetu inakuwa gonjwa zaidi, kiasi hakuna tumaini ya mgonjwa kuishi maisha. Wakati huo jamii nyingi zinalazimika kuamua kusimamisha …

Continue Reading