Swahili Service

NI JAMBO LA ROHO

MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA DAUDI SOMO: 1 SAMWELI 16:1-13   Huu ni ujumbe wa kwanza katika mfululizo wa ujumbe huu juu ya maisha na nyakati zake Daudi. Hakuna maisha ya mtu anayelinganika na maisha ya Daudi. Maisha ya Daudi ni maisha ya ukuu na pia maisha ya kawaida. Daudi alikuwa mtu shujaa na pia …

Continue Reading