Swahili Service

YEZEBELI NA WATOWASHI

MFULULIZO: MAISHA NA NYAKATI ZA ELISHA SOMO: 2 WAFALME 9:1-37; UFUNUO 2:18-29.   Nabii Elisha sasa alikuwa mzee sana. Yehu alipoitaji kupakwa mafuta kuwa mfalme, Elisha alimtumia nabii mwanafunzi kumtawaza Yehu.  Leo tunaangazia mwanamke mwenye uovu mwingi sana Yezebeli. Yezebeli alikuwa mwanamke mwenye ushawishi mkuu katika Israeli yote. Mume wake Yezebeli alikuwa Ahabu, mfalme wa …

Continue Reading