Swahili Service

NAWE UTALITAJA NENO, NALO LITATHIBITIKA KWAKO

SOMO: AYUBU 22:27-29   Watoto wa Mungu wamepewa uwezo wa kulitaja na kukusudia neno, kuambatana na neno la Mungu na Mungu anadhibitisha lile neno. “Nawe utakusudia neno, nalo litadhibitika kwako”-Ayubu 22:28. Kutaja au kukusudia neno Maanake ni kutumia uwezo na nguvu za Mungu kuamrisha neno kulingana na sheria za Mungu. Mungu ametufanya kuwa wafalme na …

Continue Reading