GENESIS 19: 15 – 26. INTRODUCTION Jesus Christ tells us in Luke 17: 32, that we should all remember Lot’s wife. Her name is not disclosed to us in the Bible. In the context of His coming, Jesus will come; 1) Suddenly – v 24. (2) He will come surprisingly v 27. (3) He will …
Category: IBRAHIMU: KUMFUATA BWANA KATIKA IMANI
MWITO WA MAISHA YA IMANI
Ni watu wachachetu tu nje ya Yesu Kristo wamechangia katika historia ya ulimwengu kama Ibrahimu.Ibrahimu anaheshimika na zaidi ya nusu ya watu wa dunia. Wayaudi,Waislamu na Wakristo wanamheshimu Ibrahimu kiasi cha kumwabudu. Hivyo dini za Uyaudi,Uislamu na Ukristo zinaitwa dini za Ibrahimu. Ibrahimu ni mfano mwema wa wale wanaoishi kwa imani (Waebrania 11:8-19, Yakobo 2:23) …