Kings Of Judah Swahili Service

MANASE – BWANA NDIYE MUNGU

II MAMBO YA NYAKATI 33:1-17 UTANGULIZI Mungu anaweza kumwokoa yeyote yule. Neema ya Mungu inawafikia wote walio karibu na walio mbali sana kama mfalme Manase wa Yuda. Musa alikuwa muuaji, Daudi alikuwa muuaji – msherati, Rahabu alikuwa kahaba, Mariamu Magdalene alikuwa mwenye pepo saba. Ibrahimu alikuwa mwabudu sanamu, Yakobo alikuwa mdanganyifu, Paulo alikuwa mpinga Kristo …

Continue Reading
Kings Of Judah Swahili Service

YEHORAMU– ALIFARIKI BILA KUTAMANIWA.

2 MAMBO YA NYAKATI 21:1-20 UTANGULIZI Tunapotembea katika barabara ya maisha, tunaendelea kuandika historia ya jinsi tutakumbukwa mara tutakapo fariki dunia. Tabia zetu ndizo watu watakumbuka. Mfalme Yehoramu mwana wa mfalme Yehoshafati alifariki bila kutamaniwa na kuliliwa na mtu yeyote. Kama Yesu Kristo atakawia zaidi kurundi kwake duniani, Kila mmoja wetu katika chumba hiki lazima …

Continue Reading
Kings Of Judah Swahili Service

YEHOSHAFATI ALIMRUDIA MUNGU WAKE.

2 MAMBO YA NYAKATI 19-20 UTANGULIZI Hata ingawa mfalme Yehoshafati alijifunga kongwa moja na wasio amini, na akapona mauti katika vita, tunaona kwamba Yehoshafati alimrudia Mungu wake. Yehoshafati alirudi Yerusalemu kwa aibu nyingi. Mara tu alipoingia nyumbani kwake         Yerusalemu, Yehu mwana wa Hanani, Mwonaji alikwenda kumlaki akamwambia “Je! Imekupasa kuwasaidia waovu na kuwapenda wamchukiao Bwana …

Continue Reading
Kings Of Judah Swahili Service

USIFE MBELE YA WAKATI WAKO

II MAMBO YA NYAKATI 16  I WAFALME 15:9-24 UTANGULIZI Jumapili iliyopita tulisoma juu ya mfalme      Rehoboamu aliye pokea shauri kutoka kwa wajinga.Rehobohamu mwana wa mfalme    Sulemani alimzaa mfalme Abija. Abija hakuwa tofauti sana na babaye. Lakini mfalme Asa     alimpenda Mungu. Asa alianza vizuri lakini  akamalizia vimbaya sana. Watu wengi wanasema hawawezi kufa kabla ya wakati …

Continue Reading
Kings Of Judah Swahili Service

CHAGUO LA SULEMANI- BARAKA TELE

I WAFALME 3:1-15 UTANGULIZI Hekima na moyo wa Adili haupatikani, lakini hupeanwa. Haupatikani duniani lakini huteremka kutoka mbinguni. Inasemekana kwamba Mungu alimpenda Sulemani (2 Samweli 12:24). Sasa inasemekana kwamba   Sulemani naye alimpenda Bwana (V.3).   Mungu anakupenda, hivyo nawe mpende Mungu wako. Sulemani mfalme alienda    Gibeoni kutoa sadaka mbele za Mungu. Akatoa sadaka Elfu kondoo. Sadaka …

Continue Reading