RESURRECTION SUNDAY

HAIKUWEZEKANA KRISTO ASHIKWE NA KABURI

MATENDO 2:22-28 UTANGULIZI Mwokozi Yesu Kristo aliuona uchungu wa mauti. Mwili wake ulikufa kweli, kweli. Lakini Kristo hakuona uaribifu maana Kristo alikuwa bila dhambi, dhambi ndio huleta uaribifu na kuoza na wadudu waletao kuoza. Hivyo mwili wa Kristo ulikombolewa na ufufuo ,Kristo asishikwe na kaburi. Kaburi inashika watu, ili mauti yafanye kazi kamilifu. Mfalme            Theodosius …

Continue Reading