DANIELI 12:1-13 UTANGULIZI Leo twatamatisha mfululizo wa ujumbe katika kitabu cha Danieli. Tunatazama ukweli tano kutoka kwa Biblia, tunapoona utabiri wa mwisho kutoka kwa Mungu. Hebu tuone:- I. UKWELI WA MUNGU; KUNA KITABU CHA UZIMA (12:1) Swali ni ; Je, jina langu lipo katika kile kitabu? Maranyingi Biblia inatueleza kwamba kuna kitabu ambacho kimeandikwa majina …
Category: DANIEL
UKWELI JUU YA MPINGA KRISTO
DANIELI 8 :23-27 UTANGULIZI Biblia ni kitabu kigumu kuelewa. Zaidi sana kuelewa ni sehemu ya Biblia juu ya unabii. Kila mhubiri anayotafsiri yake, hivyo wakristo wengi wanakaa katika hali ya kuchanganyikiwa. Leo tujifunze juu ya mtu wa shetani atakayeitwa mpinga Kristo (Antichrist) Wengi katika kanisa hawaelewi kitakacho wadia, hivyo si wengi wako tayari kumlaki Kristo …
MWISHO WA STORI
DANIELI 7 :28 UTANGULIZI “Huu ndio mwisho wa jambo lile” (v.28) Yanayo tajwa hapa ni unabii wa mambo na hali ya mambo katika dunia hii. Kitabu cha Danieli kina sehemu mbili. Mlango 1-7 ni hadithi ya dunia, 7-12 ni upambanuzi wa ule unabii. Danieli kama mtu wa maono na ndoto alikuwa pia …
MAANDIKO JUU YA UKUTA
DANIELI 5:1-31 UTANGULIZI Mungu amenena nasi kwa njia nyingi. Lakini zaidi Mungu amenena kupitia kwa Yesu Kristo na kwa neno lake. Katika Danieli 1-4, Nebukadneza alikuwa mfalme wa Babeli. Alitawala kwa miaka 40 (605-562 Bc) . Baadaye Amel-marduk (563-561 Bc), Neriglisser (560-556BC), Nabonidus (556-539 Bc).Nabonidus alikuwa mwenda safari sana, hivyo akatawala pamoja na mwanaye Belshaza …
KUTOKA ENZI MPAKA KWA NYASI
DANIELI 4:1-37 UTANGULIZI Huu ni ushuhuda wa mfalme Nebukadneza. Alitoa ushuhuda huu kama ujumbe wa serikali yake rasmi (V.1) mtu anaweza kufahamu mengi sana ya njia za Mungu na mapenzi yake, lakini mtu huyu awe mbali sana na neema inayo okoa. Nebukadneza alikuwa mtu aliyekubalika sana na Mungu, pia alikuwa na nafasi kuu kuokoka. Mungu …
MUNGU WETU ANAWEZA
DANIELI 3:1-30 UTANGULIZI Ni lazima kuchukua msimamo wetu katika Mungu wetu kama vile Danieli (Mungu ndiye hakimu wangu) Hanania (Mungu ni mwenye rehema) Mishaeli (Mungu hafananishwi) na Azaria (Mungu ndiye anisaidiaye). Imani yetu lazima kujaribiwa. Mungu wetu tunaye mwabudu ni muweza wa yote. Mungu wetu anaokoa. Hebu Tuone:- I. HATA IKIWA MUNGU HATATUOKOA-HATUTA ABUDU HAU …
MUNGU WA DANIELI
DANIELI 2:1-20 UTANGULIZI Dani ya Danieli palikuwa na roho ya ufahamu, maarifa na hekima. Ufahamu, maarifa na hekima vinahitajika kukusaidia kupanda mpaka juu zaidi. “Kwa sababu mimi nitawapa kinywa na hekima ambayo watesi wenu wote hawataweza kushindana nayo wala kuipinga” (Luka 21:15) Danieli 1:8-9. Mungu anaweza kukupa ufahamu, maarifa na hekima, adui na marafiki wako …
YESU KRISTO NI JIWE LA NGUVU SANA
DANIELI 2:31-45 UTANGULIZI Daniel- (Mungu ni hakimu wangu) Hananniah (Mungu ni mwenye neema) Mishaeli (Mungu halinganishwi) Azariah (Mungu ndiye anisaidiaye). Danieli akawa mtu wa maono, ndoto, unabii na mtafsiri wa akili na mausia ya Mungu. Maono ya mfalme Nebukadreza yalitisha sana. Furaha ya wasio na Mungu inharibika haraka, kwa ndoto yake mfalme alifadhaika sana. Ndoto …
MPE MUNGU UTUKUFU WOTE
DANIELI 2:1-49 UNTANGULIZI Danieli alimpa Mungu utukufu alipomweleza mfalme tafsiri ya ndoto yake. Danieli alipompa Mungu utukufu, naye mfalme Nebukadneza alimpa Mungu wa Danieli utukufu. Tutakuwa na jumbe kadhaa katika Daniei mlango wa pili. Leo hii twatazama kanuni alizotumia Danieli wakati wa changamoto za maisha yake. Jumapili iliyopita tuliona Danieli mtu wa kuazimu. Pia tuliona …