WAEBRANIA 12:12-17 UTANGULIZI Mwandishi wa waebrania anataka tuweze kufahamu kwamba safari ya Imani ni ngumu na ni vyema kuelewa na binu za kumaliza vyema. Mtume Paulo alijua kwamba mtu anaweza kuanza vyema lakini mwisho wake kutupwa inje. Hivyo katika Waebrania 12, mtume ametueleza kwa maisha dani ya Kristo ni kama jinsi mbio za masaba marefu …
Category: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
IMANI NDIO USHINDI (FAITH IS THE VICTORY) : WAEBRANIA 11:32-40
UTANGULIZI Tunaishi katika kizazi kinacho amini kwamba kushinda ndio mambo yote. Hata kanisa limeamini Imani ya kweli lazima ushindi na maendeleo ya binafsi, Injili ya “Afya na Utajiri”. (Health and wealth gospel) lime tujulisha ikiwa wewe si tajiri na mwenye afya nzuri umekosa Imani. Lakini sivyo kulingana na Biblia. Leo mwandishi wa Waebrania anatujulisha kwamba …
MUSA:MTU WA IMANI: WAEBRANIA 11:23-29
UTANGULIZI Kwa Wayahudi Musa ndiye mtu mwenye heshima kuliko wote katika historia yao. (Kumbu Kumbu 34:10-12). Kwa Israeli wote Musa ndiye Nabii mkuu, mwanasheria mkuu na mwana historia. Aliandika vitabu tano vya kwanza vya Biblia. Musa ndiye mtakatifu zaidi ya wote. (Hesabu 12:3). Musa aliwakomboa wana wa Israeli kutoka utumwa wa miaka 400 Misri. Musa …
MAISHA YA IMANI- Waebrania 11:8-19
UTANGULIZI Je, umewahi kufikiri jinsi mtu anapata kibali mbele ya Mungu ? Je, ni kupitia dini ? Kwenda kanisa ? Kushika Torati na Amri kumi ? Utumishi wake ? La, kuna njia moja pekee ya kumpendeza Mungu, Imani katika waebrania 11:6, “Lakini, pasipo Imani haiwezekani kumpendeza”. Kuna njia mbili za kuishi, kwa kuona, na kwa …
IMANI NI HAKIKA NA BAYANA
SOMO: WAEBRANIA 11:1-7 UTANGULIZI Kila mtu anayo Imani kiasi Fulani. Kila siku sisi zote tunatumia Imani. Unapoakisha taa unayo Imani kwamba mwangaza utatokea. Unapoingia gari unayo Imani utafika uendako, unapotumana barua unayo Imani itafika kwa anwani yake. Katika maisha ya Roho, wengine Imani yao imo katika korani na mitume, wengine Imani yao imo katika kuzaliwa …