SOMO: I SAMWELI 3:1-21 UTANGULIZI Kunazo kanuni za kusikiliza Mungu anenapo katika kitabu cha Samweli I. NI LAZIMA TUWE TAYARI KUSIKIZA MUNGU ANENAPO(3:1-8) Basi, Samweli alihama kutoka Rama mpaka Shilo. Samweli amehamia Shilo kutoka kwa nyumba ya Baba na Mama yake Elkana na Hanna Samweli ameacha nyumba inamcha Mungu kwenda kwa nyumba ya Eli, Mungu …
Category: SAMWELI
KWA NGUVU HAKUNA ATAKAYE SHINDA
SOMO: I SAMWELI 2:9 KUMBUKUMBU 28:13 UTANGULIZI Kama hauta mruhusu Mungu kupigana vita dhidi yako, basi utaishi kuwa mkia katika maisha yako yote. Maombi yetu yanahitaji kuwa “kila adui wa kuzindishwa kwangu, sabaratika kwa moto katika Jina la YESU” Yabezi aliomba, kubarikiwa kweli kweli, kupanuliwa mipaka yake, mkono wa Mungu uwe juu yake …
KAMA SI PENINA
SOMO: I SAMWELI 1:1-10. UTANGULIZI Matusi ya Penina kwa Hanna yalikuwa mpango wa Mungu kuelekeza Hanna kwa ushindi na hatima yake. Hivyo Hanna mshukuru Penina katika maisha yako. Jumapili ya jana tuliona kwamba Hanna hakuwa na binu za kutazama kando, lakini alipotazama Juu na Mbele, Bwana alimjalia na kuyajibu maombi ya moyo wake. Samweli wa …