I TIMOTHEO 2:9-15 UTANGULIZI Kuna maono mengi sana juu ya mahali pa mwanamke kanisani na katika maisha. Kuna wanaume wanao fikiri mahali pa mwanamke ni chini ya miguu yao, lakini hayo si mafundisho ya Biblia. Wanaume wengine wanapanga mwanamke sehemu yake ni kukaa na kwenda bila viatu na kila wakati kuwa na mimba (barefoot and …
Category: TIMOTHY
OMBEA WATU WOTE
I TIMOTHEO 2:1-8 UTANGULIZI Wajibu wa kwanza kwa kanisa ni kuwaombea watu waote. Maombi ni ya haina nne, dua, sala, maombezi na shukrani.Hebu tutazame:- I. OMBEA KILA MTU (2:1) Tunaitaji kuwaombea watu wote Walio juu zaidi na walio chini sana. Walio soma na wasio soma Walio na mali na wasio na mali. Walio mashuhuri na …
JIHADHARI USIANGAMIE KWA HABARI YA IMANI
I TIMOTHEO 1:18-20 UTANGULIZI Mtume Paulo anamshauri Timotheo ajiadhari sana hasipate kuangamia katika habari ya Imani (Spiritual shipwreck). Hivyo Paulo anampa Timotheo hatua tano za kujilinda na kuangamia kiroho. Kumuishia Kristo katika ulimwengu huu si rahisi. Watu wengi wameangamia katika Bahari ya Imani. Katika mwaka wa 1912– Meli ya abiria iliyokuwa kubwa zaidi duniani iliangamia …