Series Swahili Service USHINDI WA IMANI

DANIELI MTU WA KUAZIMU

DANIELI 1:1-21 UTANGULIZI Kitabu cha Danieli kimetupwa katika tundu la simba kama Danieli mwenyewe.Wengine wanakataa kitabu cha Danieli kwa sababu ya miujiza na unabii uliopo. Lakini Yesu Kristo alikitaja sana kitabu cha Danieli hivyo kukipatia kiti katika maadiko matakatifu. Sir Isaack Newton alisema, “ Ukristo umejengwa juu ya unabii wa Danieli”. Baada ya Yerusalemu kunusuriwa …

Continue Reading