Swahili Service WANAWAKE SABA WENYE IMANI YA BIBLIA

MARIAMU MAGDALENE – IMANI INAYOMFUATA KRISTO

SOMO:  LUKA 8:1-3, YOHANA 20:11-18 UTANGULIZI Mariamu Magdalene ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye shetani alikuwa amemuharibu kabisa. Lakini baada ya kuponywa na Yesu Kristo, Mariamu Magdalene alitumiwa na  Mungu Zaidi. Mariamu Magdalene alikuwa mtu wa mwisho msalabani (Marko 15:47) Mariamu Magdalene ndiye mtu wa kwanza   kaburini mwa Yesu Kristo.(Yohana 20:1). Marimau Magdalene ndiye wa …

Continue Reading
Series Swahili Service WANAWAKE SABA WENYE IMANI YA BIBLIA

SARA– IMANI YA KUWA NA JAMII

SOMO:  YEREMIA 32:27,                MWANZO 18:1-15 UTANGULIZI Je, ni jambo gani lililokupeleka mbali na Mungu wako. Mungu anataka wewe ufahamu kwamba yeye anayaweza yote,na sharti tumpe nafasi katika maisha yetu. Mungu atayabadilisha maisha yetu na kuyajibu maombi yetu. Katika Yeremia 32:27,  Mungu anawauliza waisraeli swali, “Tazama, Mimi ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili; …

Continue Reading
Series Swahili Service WANAWAKE SABA WENYE IMANI YA BIBLIA

ESTA– MWANAMKE ALIYE SEMA NDIO KWA MUNGU

ESTA 2:5 ; 3:13 UTANGULIZI Esta aliishi kwa Imani. Maisha yake Esta inatuonyesha kwamba Mungu anaye mpango na mahali na nafasi kwa kila mmoja wetu. Kila Mtu anayo      Historia, lakini tunawakumbuka wale walio tembea katika Imani wakawa wenye kuunda historia.       Historia ya Esta inatufundisha kwamba Mungu anachangia pakubwa sana katika historia maana historia ni kazi …

Continue Reading
Swahili Service WANAWAKE SABA WENYE IMANI YA BIBLIA

RUTHU– IMANI YA KUOKOKA

RUTHU 1:1-22 UTANGULIZI Imani aina saba zinapatikana katika maisha ya Imani ya wanawake saba katika Biblia. Ruthu– Imani inayo okoa, Esta-Kuishi  kwa Imani,   Mariamu-Magdalene-Kufuata kwa Imani,    Mariamu dadake lazaro– Imani inayo abudu, Hanna– Imani inayo omba, Prisila– Imani ya kutumika, Sara– Imani ya kuwa na Jamii. Ruthu alikuwa mwanamke wa Imani . Uamuzi wa Imani …

Continue Reading