Swahili Service

KUGUZWA UPYA

MFULULIZO: DANIELI-MUNGU NDIYE HAKIMU. SOMO: DANIELI 10:1-21   Leo tunajifunza jinsi ya kupokea uguzo mpya kutoka mbinguni. Hakuna chochote kimeandikwa kinyume juu ya maisha na huduma ya nabii mkuu Danieli na manabii wachache tu katika Biblia wasiokuwa na lawama. Danieli aliishi katika mazingira mabaya sana maisha yake yote. Maadui walikuwa wengi sana juu ya maisha …

Continue Reading
Swahili Service

DUNIA ITAONGOZWA NA WANYAMA MPAKA YESU ARUDI.

MFULULIZO: DANIELI-MUNGU NDIYE HAKIMU. SOMO: DANIELI 7:1-28.   Katika siku hizi tunaona kama watu wa Mungu wanaendelea kupoteza. Lakini usife moyo. Jipe moyo na ujasiri katika ushindi mkuu unaokuja, na uwe tayari, Yesu Kristo anaokuja kutupa ushindi huo. Katika dunia inayoongozwa na wanyama hakuna usalama. Hakuna usalama katika mwanadamu, bali unatoka mbinguni. Usalama hauletwi na …

Continue Reading
Swahili Service

MUNGU ALIMGEUZA MFALME AKAWA NG’OMBE

MFULULIZO: DANIELI-MUNGU NDIYE HAKIMU. SOMO: DANIELI 4:1-37 Kiburi cha mfalme Nebukadreza kiliongezeka na kupanda juu zaidi. Mungu alimpa mfalme Nebukadreza ndoto kama onyo. Kwa kukataa ile ndoto na kutubu dhambi yake Nebukadreza alienda kichaa na wazimu wa kuwa mnyama, akala nyasi kama ng’ombe, akatembea miguu nne, akamea ngozi kama jinsi ng’ombe, akaingia porini kama mnyama …

Continue Reading
Swahili Service

NYAKATI ZA UFALME WA MATAIFA

MFULULIZO: DANIELI-MUNGU NDIYE HAKIMU. SOMO: DANIELI 2:31-49   Leo tunatazama unabii aliouona mfalme Nebukadreza katika ndoto ya yule sanamu. Nebukadreza aliota ndoto iliyomsumbua maisha yake. Kitabu cha Danieli ni msingi ya unabii wa Biblia. Ufunuo ni tafsiri ya ule unabii. Leo tunatazama historia na Biblia kuonyesha jinsi Biblia ni kitabu cha ajabu-Danieli 2:31. Mfalme Nebukadreza …

Continue Reading