MFULULIZO: TUMAINI HAI. SOMO: 1 Petro 2:11-25. Kunyenyekea ndilo neno linalochukiwa sana duniani. Wengi wetu tunafanya kama jinsi kijana…
MFULULIZO: TUMAINI HAI. SOMO: 1 Petro 2:9-12. Mtume Petro anawaeleza waumini kwamba sisi NI WASAFIRI NA WAGENI duniani. Mgeni…
MFULULIZO: TUMAINI HAI. SOMO: 1 PETRO 1:10-12. Mtume Petro amekubali kwamba wakristo wa kwanza wametawanyika pote wakihofia maisha yao.…
MFULULIZO: 1 PETRO-YESU KRISTO, TUMAINI LETU. SOMO: 1 PETRO 1:1-12, WAEBRANIA 11:1 Yesu Kristo yu hai, basi uwe na hakika…
MFULULIZO: MKARIBU MUNGU. SOMO: ZABURI 42:7 (42:1-11). Wakristo wengi wanafurahi kukaa katika maji ya ufuoni. Wengi hawapendi kuingia ndani…
MFULULIZO: KARIBU NA MUNGU. SOMO: ZABURI 91:1. Kukaa katika mahali pa siri pake aliye juu ni mwaliko wa kupokea…
MFULULIZO: KARIBU NA MUNGU. SOMO: YAKOBO 4:8. Kumkaribia Mungu si jambo la kufanya mara moja tu, lakini ni safari…
MFULULIZO: KUPENYA KUSIO KWA KAWAIDA SOMO MWANZO 26:18; MARKO 16:15-20 Ikiwa tutapata kuwa na nguvu, ishara maajabu, uponyaji na…
SOMO: LUKA 19:41-44 Leo ni Jumapili ya Mitende, yaani, “Palm Sunday.” Siku kama hii miaka 2,000 iliopita Mwokozi wetu…
MFULULIZO: DANIELI-MUNGU NDIYE HAKIMU. SOMO: DANIELI 12:1-13. Leo hii tunatamatisha mfululizo wa jumbe katika kitabu cha Danieli. Danieli sura…