Swahili Service

TUMEITWA TUTENGENEZE HISTORIA.

MFULULIZO: DANIELI-MUNGU NDIYE MHUKUMU. SOMO: DANIELI 1:1-21   Mapenzi ya Mungu ni tuwe watu wa kutengeneza historia katika maisha ya…

9 months ago

JE, WEWE HUKUJUA? HUKUSIKIA?

SOMO: ISAYA 40:28-31.   Nguvu za mwanadamu haziwezi kutosha tunapo pitia katika changamoto na magumu ya maisha. Haijalishi wewe ni…

10 months ago

REHEMA ZAKE HAZIKOMI

SOMO: MAOMBOLEZO 3:22-24.   Tunahitaji rehema za Mungu kuishi, ulinzi na kupandishwa katika kila eneo katika maisha yetu. Safari ya…

10 months ago

ANA-ALIUTARAJIA UKOMBOZI WA ISRAELI.

SOMO: LUKA 2:36-38.   Kuokoka ni kuishi maisha ya kutarajia ukombozi wa Mungu. Mungu anawabariki wanaomtarajia Mungu katika kuomba kwa…

10 months ago

KWA NINI BIKIRA ALIZAA?

SOMO: WAGALATIA 4:1-8.   Krismasi inao maana tofauti kwa watu tofauti. Kwa watu wengine Krismasi ni wakati wa kupeana zawadi,…

10 months ago

NGUVU ZA NENO LA UNABII.

SOMO: ISAYA 3:10-11.   Kuna neno la unabii juu ya mwenye haki kwamba mwenye haki atakuwa heri. Katika mipango na…

11 months ago

MUNGU WA MILELE NA MIKONO YAKE YA MILELE

SOMO: KUMBUKUMBU LA TORATI 33:27.   Mungu wa milele ni Mungu mkuu zaidi, anawaongoza watu wake kutoka na maovu ya…

11 months ago

NAWE UTALITAJA NENO, NALO LITATHIBITIKA KWAKO

SOMO: AYUBU 22:27-29   Watoto wa Mungu wamepewa uwezo wa kulitaja na kukusudia neno, kuambatana na neno la Mungu na…

11 months ago

VITU VYETU VYA DHAMANI.

MFULULIZO: YESU KRISTO KWETU NI DHMAMANI SOMO: 1 PETRO 1:1-4.   Katika Petro wa kwanza na wa pili, mtume Petro…

11 months ago

FUNGUO MBILI ZINAZOFUNGUA BARAKA SABA.

MFULULIZO: RUTHU SOMO: RUTHU 2:2-19.   Kabla Ruthu kupata kupenya kwa Boazi, Ruthu aliomba kibali na neema. Hatima yako inahitaji…

12 months ago