SOMO: LUKA 5:27-32
UTANGULIZI
Kisa cha Lawi, aliyeitwa kwa jina lingine Mathayo ni cha mtu aliyefanya mapatano na serikali ya Roma kutoza ushuru kutoka kwa Wayahudi wenzake. Kazi yake Lawi ilimtenga na watu na jamii yake. Hivyo marafiki zake walikuwa watu wakutoza ushuru. Lawi alitengwa na kuchukiwa na watu, majirani na jamii.
Mabadiliko katika maisha ya Lawi yalianza wakati alipokutana na Kristo. Baadaye, Lawi akawa mtume. Alipookoka Lawi aliwaita marafiki wake kwa chakula na kualika Kristo nyumbani kwake. Jambo hilo halikuwapendeza mafarisayo na waandishi wa sharia na torati. Hivyo wakuu wa dini wakamuliza Kristo “kwanini mnakula na kunywa na wenye dhambi na watoza ushuru?” Je, Maisha ya kale, yatamtenga mtu maisha ya usoni?
Hebu Tujifunze:-
III. PONGEZI YA YESU KRISTO INAFANYA MATUSI YA WENGINE KUWA SI KITU. (Luka 5:30-32)
MWISHO
¨ Kila mtakatifu ana historia ya maisha ya kale na kila mwenye dhambi ana maisha ya usoni.
¨ Yesu Kristo alikuja kutafuta wenye dhambi kuokoka. (2 Wakorintho 5:21)
¨ Je, wewe ni chombo cha kuwaleta watu kwa Kristo Yesu.
¨ Nena Jina la Kristo, shiriki upendo wa Kristo, watafute waliopotea dhambini.
¨ Rekembihsa nyumba yako, weka watu wale wangeni mbele ya nafsi yako, Tumika kwa ajili ya Yesu Kristo.
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…