SOMO: II SAMWELI 16:20-17:21
UTANGULIZI
Mungu aliingilia kati mpango mbaya wa Ahithofeli na Absalomu kumshusha na kumwaribu mfalme Daudi. Mpango wao haukufaulu kamwe. Kuna watu wanaokaa kama jinsi bomu. Hawa watu sura yao kawaida wanaongea na kutembea kawaida. Wanaudhuria kanisa an kusifu Mungu kawaida, lakini dani yao kuna shida kubwa. Hawataki kamwe kuongea maisha yao yaliopita. Hivyo lazima kuchunga sana. Hawa watu huwa walipata shinda kale hau waliumizwa sana na mtu lakini hawakupokea ushauri kamili kutoka kwa Biblia, hivyo wanabebana na chuki na uchungu zaidi. Leo tunatazama watu wanne katika somo hili Ahithofeli, Daudi, Absalomu na Hushai. Ahithofeli alikuwa na chuki. Daudi alikuwa amemvuta Ahithofeli karibu sana na nyumba na ufalme wake. Ahithofeli alikuwa baba yake Bathsheba mke wa uria mhiti. Ahithofeli hakupendezwa na jinsi daudi alimfanya Uria, na jinsi alivunja ndoa ya Bethsheba na Uria na kumuua Uria. Kila siku uwe macho sana na watu uliokosea kitambo. Ahithofeli alibeba uchungu wa kitambo juu ya mfalme Daudi hata ikawa Daudi alimtenda mema Ahithofeli bado alibeba chuki na uchungu kwa miaka mingi.
Hebu Tuone:-
I. Kubeba Chuki Huleta Uchungu, Mwenye uchungu hawezi kuwa mtu mwema (Waebrania 12:15)
II. Mtu Mwema Anaweza Kuwa Mtu Wa Chuki (2 Sam. 15:12)
III. Uchungu Unafunika Hekima na Akili
IV. Dhambi Inafungua Njia Kuu Yakupimwa Kiroho
V. Shina la Uchungu ni Chuki
VI. Chuki Ndiyo Chanzo Cha Kulipiza Kisasi (2 Sam 16:21-23)
Ahithofeli alimshauri Absalomu ,mambo mawili
VII. Mungu Mshauri Mwema, Anao nguvu za kuvunja Mipango ya shetani juu ya Maisha Yako.
MWISHO
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1. Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: PROVERBS 3:5-6. Every destiny is a divine…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: Colossians 3:5-10 We have put off the…
SERIES: THE GOD WE SERVE TEXT: 2nd SAMUEL 5:17-20 Breakthroughs are divine interventions that…
SERIES: DRAWING NEAR TO GOD TEXT: LAMENTATIONS 3:37 It reminds believers that God's word alone…
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4. Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa…