MFULULIZO: NEEMA. SOMO: TITO 2:11-14 Neno na tafsiri “Neema” katika Agano Jipya linatoka kwa lugha ya Kigiriki. Kwa Kigiriki ni “Charis” maanake ni “kibali, baraka na Fadhili.” “Neema” inapotumika juu ya Mungu, inapata kuwa na nguvu zaidi katika maana yake. Neema ni Mungu anapochagua kubariki badala ya kulaani, laana ndiyo tunao stahili kwa dhambi …
Author: Rev, DR. Willy Mutiso
FREEDOM FROM WORRY – CHOOSE YOUR MASTER
SERIES: FREEDOM. TEXT: MATTHEW 6:24–34. Jesus Christ wants us to get rid of the worry that so often fills our lives. What does it take for us to be set free from worry? You must answer four questions to be set free from worry. Let us learn: WHO WILL BE YOUR GOD? Freedom from worry …
KUTOKA WAFU MPAKA HATIMA.
MFULULIZO: WEFESO: YESU KRISTO NI YOTE NDANI YA YOTE. SOMO: WAEFESO 2:1-10. Ujumbe wa leo unafundisha na kufunua jinsi neema ya Mungu inamtoa mtu kutoka kwa wafu na utumwa wa dhambi na kuingia katika wokovu, tumaini, shabaha, matendo mema na kuingia katika hatima ndani ya Yesu Kristo. “Kwa maana tu kazi yake, tuliumbwa katika …
FREEDOM FROM ANGER.
SERIES: FREEDOM. TEXT: EPHESIANS 4:26 – 5:2. Anger is normal God-given emotion. God created you with the capacity of anger. The emotional response of anger is not a sin, because even God gets angry. God is an emotional God. The difference between God and man is how God responds and man responds to the emotion …
TUMECHAGULIWA KATIKA YESU KRISTO
MFULULIZO: WEFESO: YESU KRISTO NI YOTE NDANI YA YOTE. SOMO: WAEFESO 1:4. Ujumbe wetu wa leo unatufundisha kwamba kitambulisho, sababu, utakatifu na ujasiri wetu umepandwa katika uchaguzi wa Mungu kutuchagua katika Yesu Kristo. “Kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika …
FREE TO BE FREE
SERIES: FREEDOM TEXT: JOHN 8:31-32. “To the Jews who had believed in him, Jesus said ‘If you hold to my teaching, you are really my disciples. Then you will know the truth, and the truth will set you free’.” On August 28, 1963, Dr. Martin Luther King stood on the steps of the Lincoln …
TUMEBARIKIWA NA BARAKA ZOTE ZA ROHONI.
MFULULIZO: WEFESO: YESU KRISTO NI YOTE NDANI YA YOTE. SOMO: Wefeso 1:3. Waefeso inatufundisha kwamba Yesu Kristo ndiye yote ndani ya yote. Ukimpata Yesu Kristo umepata yote. Kila mkristo ameitwa kutembea katika baraka zote katika Yesu Kristo. “Atukuzwe Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa …
THE SECRET OF SUPERNATURAL ESTABLISHMENT.
TEXT: Proverbs 16:3. When you Commit your life and ways to the Lord, He will Establish your thoughts and prosper your ways. “Commit to the Lord whatever you do, and He will Establish your plans” (Pro. 16:3). Proverbs 16:3 is a Covenant key for everyone who desires stability, success, and Supernatural establishment. In a time …
FAITH THAT BREAKS CHAINS AND SETS YOU FREE
SERIES: FAITH FOR SUPERNATURAL LIVING. TEXT: ACTS 16:25-26. Your faith is your most powerful weapon against the chains of life. Whether it is sin, fear, addiction, or demonic oppression – faith in Jesus Christ brings total and permanent liberty. Faith is the divine key that opens and unlocks supernatural freedom. Many believers today are bound …
MUSA MBELE YA KIJITI KILICHOWAKA MOTO.
MFULULIZO: MAPAMBANO YANAOBADILISHA HATIMA. SOMO: KUTOKA 3:1-12. Mapambano ya kweli na Mungu yanaamsha sababu ya Mungu kuishi, kunaleta ujasiri takatifu na agizo kwa muumini kutumika katika ufalme wa Mungu. “Bwana alipoona yakuwa amegeuka ili atazame Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema Musa Musa, akasema mimi hapa”-Kutoka 3:4. Mungu anadhihirisha kwa njia ajabu …
