Swahili Service

MUNGU ANAGEUZA WATUMWA KUWA WAFALME

MFULULIZO: MUNGU ASIYESHINDWA SOMO: MWANZO 41:14–44. Mungu ni mkuu wa mageuzi. Mungu anageuza na kubadilisha kisa cha maisha ya watu ambao dunia imewatupa mbali. Mungu anapoingia gerezani, wafungwa wana- kuwa wafalme, watumwa wanakuwa watawala, na waliosahaulika wanakumbukwa. Kunao majira katika maisha mtu anazuiliwa, anadhibitiwa na kufungwa. Kifungo kinaweza kuwajia watu kwa njia nyingi mno—kufungwa na dhambi, kuteswa …

Continue Reading