Swahili Service UKOMBOZI

BADILIKA– UKAINUKE

JEREMIAH 48:11 UTANGULIZI Watu wengi wanahitaji ujumbe huu zaidi. Hapa twaona kwamba Moabu alikuwa na shida nyingi. Kwanza Moabu alipenda maisha ya starehe, Pili Moabu alitulia juu ya sira zake, Tatu Moabu hakumiminwa kutoka chombo kimoja kutiwa chombo kingine. Moabu hakwenda kufungwa (captivity) kwa hivyo ladha yake anakaa nayo, harufu yake haikubadilika. Moabu alikataa kubadilika …

Continue Reading
Swahili Service UKOMBOZI

ROHO YA UTORO

MWANZO 4:12,  KUMBUKUMBU 21:18-21, ZABURI 109:10 UTANGULIZI Roho ya utoro, hau upako wa utoro na kutangatanga inachangia pakubwa kukosa muelekeo na  kukosa shabaha katika maisha ya watu wengi. Shetani mwenyewe ni mtoro na kazi yake ni kusambaza roho na upako wa utoro na kutangatanga. Katika Mwanzo 4:12, tunaona mtoro wa kwanza duniani “Utakapolima arthi haitakupa …

Continue Reading
Swahili Service UKOMBOZI

NGUVU ZA KUFUNGA, KUFUNGUA NA KUTEKA

                                       SOMO:  MATHAYO 12:29; 16:18-19                  LUKA 11:21-22                 UTANGULIZI             Jina la Bwana ni ngome imara, mwenye haki hukimbilia akawa salama. Kwa sababu tumekimbilia ngome hilo na nguvu zake, hivyo anaye tufuatia anapoteza nguvu zake. EE, Bwana vunja kila nguvu za kuzimu zinazotudharau. Neno lasema …

Continue Reading
Swahili Service UKOMBOZI

BILA NGUVU MBELE YAKE ANAYE KUFUATIA

SOMO: MAOMBOLEZO 1:6 –12 UTANGULIZI Haya ni maombolezo makali sana. Mkimbizi ako katika shida kubwa kwa sababu anafuatwa na wenye nguvu zaidi kuliko yeye. Mtu anayefuatwa hawezi kupumzika. Hakiwa bila nguvu, basi yeye amepatikana. Maombolezo 1:6- “Naye huyu binti Sayuni, Enzi yake imemwacha; wakuu wake wamekuwa kama ayala anayewafuatia”. Bila nguvu mkimbizi anakuwa bila haja …

Continue Reading