Swahili Service

MUSA MBELE YA KIJITI KILICHOWAKA MOTO.

MFULULIZO: MAPAMBANO YANAOBADILISHA HATIMA. SOMO: KUTOKA 3:1-12.   Mapambano ya kweli na Mungu yanaamsha sababu ya Mungu kuishi, kunaleta ujasiri takatifu na agizo kwa muumini kutumika katika ufalme wa Mungu. “Bwana alipoona yakuwa amegeuka ili atazame Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema Musa Musa, akasema mimi hapa”-Kutoka 3:4. Mungu anadhihirisha kwa njia ajabu …

Continue Reading
Swahili Service

YAKOBO ALIPAMBANA NA MUNGU-PENUELI

MFULULIZO: MAPAMBANO YANAOBADILISHA HATIMA. SOMO: MWANZO 32:24-30.   Mapambano ya kweli na Mungu yanabadilisha kitambulisho, tabia na uhusiano wa mtu na Mungu. “Akamwambia, jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda”-Mwanzo 32:28. Katika Biblia yote mapambano na Mungu yanaleta mageuzi katika watu wa Mungu. Haya mapambano si ujuzi …

Continue Reading