Swahili Service

MILIKI MPAKA NITAKAPORUDI (OCCUPY TILL I COME)

MFULULIZO: PASAKA SOMO: LUKA 19:11-26.   Pasaka ya 2026 imefika. Jumapili ijayo ni Jumapili ya mitende. Yesu Kristo aliingia Yerusalemu huku akijua ataenda kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu. Lakini hivi leo, Jumapili Yesu Kristo alitoka Yeriko kwa barabara ya Yeriko kwenda Yerusalemu Kristo amekutana na watu watatu. Kijana tajiri mtawala. Kipofu Batimayo. Zakayo-mtoza …

Continue Reading
Wednesday Sermon

HOW TO POSITION YOURSELF FOR DIVINE BREAKTHROUGH

SERIES: FAITH FOR SUPERNATURAL LIVING.  TEXT: 2ND KINGS 7:1-10.   To position oneself for divine. Breakthroughs means to align your thoughts, actions, faith and timing with God’s plan. Everyone desires a breakthrough. A moment when the tide turns, when long-haired for change manifests. Divine breakthroughs go beyond human effort, they are supernatural interventions that shifts …

Continue Reading
Swahili Service

MUNGU NI MUNGU WA IBRAHIMU, ISAKA NA YAKOBO

MFULULIZO: MJUE MUNGU WAKO. SOMO: MWANZO 17:1-7.   Mungu alipojijulisha na kujitambulisha kwa Musa, katika kichaka kilicho waka moto, alijitambulisha kama Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Huku hakukuwa kujitambulisha kwa kawaida, bali Mungu kwa hakika alikuwa na maana kwamba yeye ni Mungu wa Agano, Mungu anayatimiza ahadi zake, Mungu aliye mwaminifu. Mungu alijitambulisha kwa …

Continue Reading