Swahili Service

JERAHA NILIZOTIWA KATIKA NYUMBA ZA RAFIKI WANGU

MFULULIZO:  VITA VYA KIROHO SOMO: ZAKARIA 13:6-10; DANIELI 2:22   Katika Zakaria 13:6 tunaona kwamba; Kunaye mtu aliyepata jeraha. Huyu mtu alijua aliyempa jeraha. Jeraha zake zilitoka mahali hakutarajia. Alijua kwamba majeraha yake yalitoka kwa mafiki zake. Katika vita vya kiroho, kuna watu walio rafiki na wasio rafiki. Rafiki asiye rafiki ni mtu ambaye anajifanya …

Continue Reading