DANIEL Swahili Service

MAANDIKO JUU YA UKUTA

DANIELI 5:1-31 UTANGULIZI Mungu amenena nasi kwa njia nyingi. Lakini zaidi Mungu amenena kupitia kwa Yesu Kristo na kwa neno lake. Katika Danieli 1-4, Nebukadneza alikuwa mfalme wa Babeli. Alitawala kwa miaka 40 (605-562 Bc) . Baadaye Amel-marduk (563-561 Bc), Neriglisser (560-556BC), Nabonidus  (556-539 Bc).Nabonidus alikuwa mwenda safari sana, hivyo akatawala pamoja na mwanaye  Belshaza …

Continue Reading
DANIEL Swahili Service

MUNGU WETU ANAWEZA

DANIELI 3:1-30 UTANGULIZI Ni lazima kuchukua msimamo wetu katika Mungu wetu kama vile Danieli (Mungu ndiye hakimu wangu) Hanania (Mungu ni mwenye rehema)    Mishaeli (Mungu hafananishwi) na Azaria (Mungu ndiye anisaidiaye). Imani yetu lazima kujaribiwa. Mungu wetu tunaye mwabudu ni muweza wa yote. Mungu wetu anaokoa. Hebu Tuone:- I. HATA IKIWA MUNGU HATATUOKOA-HATUTA ABUDU HAU …

Continue Reading