Swahili Service

TAZAMA ALIYONITENDA BWANA

I TIMOTHEO 1:12-17 UTANGULIZI Baada ya kuhubiri miaka mitatu pale Efeso, paul aliacha kanisa la Efeso mikononi mwa mhubiri kijana Timotheo. (Matendo 19)       Timotheo alikuwa kijana, alipata shida si haba katika uchungaji. Kwanza waalimu wa uongo walikuwa katika kanisa la Efeso (1:18-20)     mafundisho ya uongo (1:3-7) ghasia katika    ibada (2:1-15) viongozi kanisani (3:1-14) na tamaa …

Continue Reading