Swahili Service

BABA AWATAFUTA WAABUDUO KATIKA KWELI NA ROHO

MFULULIZO: SAFIRI NA MTUME YOHANA. SOMO: YOHANA 4:20-25; YEREMIA 26:3-11.   Mungu awatafuta watu watakao mwabudu katika kweli na katika roho, je, wewe ni mmoja wao? Mungu wetu na Bwana Yesu Kristo ametujulisha mapenzi ya moyo wake-anatafuta watu wamwabudu yeye. Katika historia ya mwanadamu wengi wamejaribu kuabudu. Lakini wengi waliabudu Mungu asiyejulikana. Leo tutazame haina …

Continue Reading
Swahili Service

WASAMARIA NI WATU PIA

MFULULIZO: SAFIRI NA MTUME YOHANA SOMO: YOHANA 4:1-30   Katika somo letu leo tunaona mwanamke aliyeishi maisha ya mzunguko mzunguko, aliyekuwa katika mzunguko wa furaha yaani, ‘merry go-round’. Maisha yake yalikuwa yamechakaa lakini siku moja Yesu Kristo alikutana naye, katika kisima cha Yakobo karibu na mji wa Sikari. Yesu alipokutana na huyu mwanamke Msamaria, aliyafungua …

Continue Reading