JEREMIAH 48:11
UTANGULIZI
Watu wengi wanahitaji ujumbe huu zaidi. Hapa twaona kwamba Moabu alikuwa na shida nyingi. Kwanza Moabu alipenda maisha ya starehe, Pili Moabu alitulia juu ya sira zake, Tatu Moabu hakumiminwa kutoka chombo kimoja kutiwa chombo kingine.
Moabu hakwenda kufungwa (captivity) kwa hivyo ladha yake anakaa nayo, harufu yake haikubadilika. Moabu alikataa kubadilika hivyo moabu alinuka. Kila anayefanya kazi na Yesu lazima kubadilika. Mlevi anapookoka maisha yanabadilika. Maisha ni kubadilika. Watu wengi wanataka kukaa bila kubadilisha mawazo na tabia. Watu wa Biblia mara kwa mara walitembea mbali, Musa Ibrahimu, Yakobo, Yeremia. Hivi leo amua kubadilika. Hivyo marafiki wengine lazima kuwaacha, mawazo yako, tabia na mazoea, marafiki wengine wamekurudisha nyuma, tamaduni zingine zimekuwa duni, hata mbegu ni lazima kuanguka kwa udongo na kufa ili uweze kuzaa sana. Maji yakikaa mahali pamoja yanalete umbu. Kanuni ya kubadilika ni kanuni ya nguvu.
I. VITA VYA KIROHO VINALETA MABADILIKO
II. MUNGU ANAPOFUNZA NJIA– ANADAI MABADILIKO
Mpango wa Mungu ni kutubadilisha tukae kama Yesu Kristo. (Warumi 12:1-2)
III. SABABU YA MABADILIKO DANI YA MAISHA YETU.
Kukataa kubadilika na kunuka kama moabu.
IV. NANI ANAHITAJI KUBADILIKA ?
V. BASI TUFANYEJE KUBADILIKA ?
MWISHO
Omba:
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1. Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: PROVERBS 3:5-6. Every destiny is a divine…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: Colossians 3:5-10 We have put off the…
SERIES: THE GOD WE SERVE TEXT: 2nd SAMUEL 5:17-20 Breakthroughs are divine interventions that…
SERIES: DRAWING NEAR TO GOD TEXT: LAMENTATIONS 3:37 It reminds believers that God's word alone…
MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4. Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa…