Kings Of Judah

MANASE – BWANA NDIYE MUNGU

II MAMBO YA NYAKATI 33:1-17 UTANGULIZI Mungu anaweza kumwokoa yeyote yule. Neema ya Mungu inawafikia wote walio karibu na walio…

6 years ago

HEZEKIA AKALIA SANA

II WAFALME 20: 1-11 UTANGULIZI Katika Biblia watu wengi walilia, nayo mbingu   ikapanguza machozi yao. Yohana 20:11-15, Mariamu alilia na…

6 years ago

HEZEKIA – MFALME WA UFUFUO

II MAMBO YA NYAKATI 29:1-36 UTANGULIZI Ufufuo huwezi kuja kanisani mpaka viongozi wa kanisa kufufuliwa kwanza. Kanisa ni kama vile…

6 years ago

UZIA-ALIANGUKA KWA SABABU YA KIBURI CHAKE.

II MAMBO YA NYAKATI 26 UTANGULIZI Uzia alikuwa kijana wa miaka 16 alipokuwa mfalme wa Yuda. Alitawala Yuda muda mrefu…

6 years ago

YEHORAMU– ALIFARIKI BILA KUTAMANIWA.

2 MAMBO YA NYAKATI 21:1-20 UTANGULIZI Tunapotembea katika barabara ya maisha, tunaendelea kuandika historia ya jinsi tutakumbukwa mara tutakapo fariki…

6 years ago

YEHOSHAFATI ALIMRUDIA MUNGU WAKE.

2 MAMBO YA NYAKATI 19-20 UTANGULIZI Hata ingawa mfalme Yehoshafati alijifunga kongwa moja na wasio amini, na akapona mauti katika…

6 years ago

YEHOSHAFATI ALIRUDI NYUMA

2 MAMBO YA NYAKATI 17-18 UTANGULIZI Kubeba msalaba wote ni rahisi kuliko kubeba msalaba nusu. Mtu anayejaribu kuishi katika dunia…

6 years ago

USIFE MBELE YA WAKATI WAKO

II MAMBO YA NYAKATI 16  I WAFALME 15:9-24 UTANGULIZI Jumapili iliyopita tulisoma juu ya mfalme      Rehoboamu aliye pokea shauri kutoka…

6 years ago

MFALME ALIYE SIKIZA WAJINGA

I WAFALME 12:1-19 UTANGULIZI Biblia inatufindisha kutafuta ushauri. Lakini si kila ushauri ni ushwari mwewa na wa busara. Kweli, kila…

6 years ago

CHAGUO LA SULEMANI- BARAKA TELE

I WAFALME 3:1-15 UTANGULIZI Hekima na moyo wa Adili haupatikani, lakini hupeanwa. Haupatikani duniani lakini huteremka kutoka mbinguni. Inasemekana kwamba…

6 years ago