Swahili Service

UMETAKASWA KUPOKEA KIBALI.

MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18.   Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto wake kupokea baraka, kupenya na…

5 days ago

MSAADA WA MUNGU WAKATI WA MATESO.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1.   Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada wa karibu.” Maanake ni kwamba…

1 month ago

CHECHEA MSHINDI ALIYE NDANI YAKO.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4.   Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa kwa sababu hawajui jinsi ya…

2 months ago

JINSI YA KUTAMBUA NA KUVUNJA VIZUIZI VYA BINAFSI.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: WAAMUZI 6: 11-16   Moja ya vizuizi kubwa zaidi kwa maendeleo ya maisha si upinzani…

2 months ago

MAJIRA YAKO YATAPAMBAZUKA.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI SOMO: ISAYA 58:8-9.   Majira kupambazuka ni wakati Mungu anachukua nafasi juu ya vita vyako, wakati…

3 months ago

ALICHO KUTENDEA YESU KRISTO

MFULULIZO: TUMAINI HAI SOMO: 1 PETRO 3:18-22.   Leo tunatazama kifungu kigumu zaidi katika Agano Jipya. Kumbuka Petro akiwaandikia kanisa…

3 months ago

KUNYAKULIWA KWA KANISA

SOMO: MATHAYO 24:1-34   Tangu Adamu na Hawa kuumbwa mpaka leo ni jumla ya miaka 5,786 kulingana na kalenda ya…

3 months ago

SHUHUDIA KWA KILA MTU TUMAINI LAKO

MFULULIZO: TUMAINI HAI SOMO: 1ST PETRO 3:14-16   Wakristo wa Karne ya kwanza  waliteseka sana kwa ajili ya imani yao…

4 months ago

PENDA MAISHA

MFULULIZO: TUMAINI HAI. SOMO: 1 PETRO 3:8-12, (10).   Kila mtu anapenda kuishi maisha bora zaidi. Sijakutana na mtu yeyote…

4 months ago

TUMAINI KWA JAMII.

MFULULIZO: TUMAINI HAI . SOMO: 1 PETRO 3:1-7.   Ni jambo la kushangaza kwamba ndoa za Wakristo zinaendelea kuvunjika kama…

4 months ago