I WAFALME 3:1-15
UTANGULIZI
Hekima na moyo wa Adili haupatikani, lakini hupeanwa. Haupatikani duniani lakini huteremka kutoka mbinguni. Inasemekana kwamba Mungu alimpenda Sulemani (2 Samweli 12:24). Sasa inasemekana kwamba Sulemani naye alimpenda Bwana (V.3). Mungu anakupenda, hivyo nawe mpende Mungu wako. Sulemani mfalme alienda Gibeoni kutoa sadaka mbele za Mungu. Akatoa sadaka Elfu kondoo. Sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu ile. Moyo wa Sulemani ulijaa mafikira ya utakatifu wa Mungu, umbaya wa dhambi na utakaso wa moyo. Sulemani alilala usiku huo akiona unyonge wake na nguvu za Mungu. Usiku huo huo Mungu alimtokea Sulemani katika ndoto. Ndoto ni njia moja Mungu hunena na watu wake.
Hebu joo karibu tutazame:-
I. MUNGU AKAMWAMBIA, OMBA UTAKALO NIKUPE (3:5)
II. UCHANGUZI BORA WA SULEMANI (3:9)
Huu ni uchaguzi Bora Maana:-
III. JIBU LA MUNGU KWA MFALME SULEMANI (3:12-13)
MWISHO
TEXT: LUKE 2:1-14. The birth of Jesus Christ shattered spiritual, social and eternal barriers,…
TEXT: JOHN 3:16-17. Christmas unveils the divine mission behind the birth of Jesus Christ;…
MFULULIZO: KRISMASI NI KUFUNULIWA KWA YESU KRISTO. SOMO: LUKA 2:8-14. Krismasi inafunua jibu la…
SERIES: CHRISTMAS IS CHRIST. TEXT: JOHN 1:1-14. Christmas is the divine moment when God…
TEXT: ISAIAH 53:1-12. The son of man came to seek and save that which…
SERIES: CHRISTMAS IS JESUS CHRIST. TEXT: MATTHEW 1:21 Jesus Christ is the savior of…