ESTA 2:5 ; 3:13
UTANGULIZI
Esta aliishi kwa Imani. Maisha yake Esta inatuonyesha kwamba Mungu anaye mpango na mahali na nafasi kwa kila mmoja wetu. Kila Mtu anayo Historia, lakini tunawakumbuka wale walio tembea katika Imani wakawa wenye kuunda historia. Historia ya Esta inatufundisha kwamba Mungu anachangia pakubwa sana katika historia maana historia ni kazi yake ndani yetu (HIS– STORY). Hivyo Mungu huwatumia watu wa kawaida kutengeneza historia.
Esta alitumiwa na Mungu kumbandili historia ya taifa nzima. Lakini ni kwa sababu Esta alisema ndiyo kwa Mungu. Kama Esta angesema La kwa mpango wa Mungu, Mungu angalimtumia mtu mwingine, lakini naye Esta hangelijulikana. Esta alikuwa na Imani inayokata shauri. Jina lake ya kiyahudi aliitwa Hadassa. Jina Esta maanake Nyota (Star). Nyota hungara gizani. Binamu wake Modekai alikuwa mtumishi wa mfalme pale Shushani Ngomeni. Malkia Vashti alikataa amri ya mfalme, hivyo akamtalaki. Hamani naye alikuwa waziri mkuu, mtu wa ukoo wa Amaleki, taifa lililo wachukia wayahudi sana (I Sam.15:1-3). Hata ingawa Esta alikuwa yatima na mtumwa, neema ya Mungu na kibali mbele ya watu wote na zaidi sana Hegai mkuu na msimamizi wa nyumba ya wanawake– Yaani mwenye kuwalinda wanawake wote wa mfalme. Hebu tuone kanuni tatu za kutembea katika Imani:-
I. JIFUNDISHE WAKATI WA KUNYAMAZA (LEARN WHEN TO SHUT UP)
II. JIFUNZE WAKATI WA KUONGEA.
III. JIFUNDISHE KUMWONA MUNGU
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…