UTANGULIZI
Tunaishi katika kizazi kinacho amini kwamba kushinda ndio mambo yote. Hata kanisa limeamini Imani ya kweli lazima ushindi na maendeleo ya binafsi, Injili ya “Afya na Utajiri”. (Health and wealth gospel) lime tujulisha ikiwa wewe si tajiri na mwenye afya nzuri umekosa Imani. Lakini sivyo kulingana na Biblia. Leo mwandishi wa Waebrania anatujulisha kwamba Imani kiini chake ni mambo mawili. Imani ndio ushindi lakini pia Imani ni kustahimili katika shida, mateso, dhihaka na mauti.
Hebu tujifunze:-
I. KWANZA, USHINDI MKUU WA IMANI (Waebrania 11:32-35)
II. PILI, KUSTAHIMILI KWA IMANI. (Waebrania 11:35-40)
MWISHO
¨ V.40, Hadithi ya Imani haiwezi kukamilishwa bila wewe na mimi !! Mungu anaendelea kuandika safari ya Imani yako !!
¨ Maisha ya Imani si ya “wachache waliochanguliwa”
¨ Maisha ya Imani yanawezekana kwa kila aminiye katika kila hali ya maisha.
¨ “Imani ndio ushindi”
TEXT: LUKE 2:1-14. The birth of Jesus Christ shattered spiritual, social and eternal barriers,…
TEXT: JOHN 3:16-17. Christmas unveils the divine mission behind the birth of Jesus Christ;…
MFULULIZO: KRISMASI NI KUFUNULIWA KWA YESU KRISTO. SOMO: LUKA 2:8-14. Krismasi inafunua jibu la…
SERIES: CHRISTMAS IS CHRIST. TEXT: JOHN 1:1-14. Christmas is the divine moment when God…
TEXT: ISAIAH 53:1-12. The son of man came to seek and save that which…
SERIES: CHRISTMAS IS JESUS CHRIST. TEXT: MATTHEW 1:21 Jesus Christ is the savior of…