I TIMOTHEO 1:18-20
UTANGULIZI
Mtume Paulo anamshauri Timotheo ajiadhari sana hasipate kuangamia katika habari ya Imani (Spiritual shipwreck). Hivyo Paulo anampa Timotheo hatua tano za kujilinda na kuangamia kiroho. Kumuishia Kristo katika ulimwengu huu si rahisi. Watu wengi wameangamia katika Bahari ya Imani. Katika mwaka wa 1912– Meli ya abiria iliyokuwa kubwa zaidi duniani iliangamia baharini. Meli hii illitwa RMS Titanic. Meli hii ilibeba abiria 2,228 siku hio 14/04/1912; wenye kuijenga meli hii walisema haitaweza kamwe kuaribika (Invincible) lakini siku hio meli iligonga mwamba baharini na kuzama, watu 705 ndio walipona kifo, watu 1,523 walikufa maji.
Timotheo alikuwa mwanaye Paulo kiroho. Timotheo aliitwa kuwa askari mwaminifu wa Yesu Kristo, apigane vita vya Imani. Paulo anamweleza Timotheo maana yake kuwa askari mwema wa Kristo. Maisha ya kuokoka ni ngumu zaidi, vita ni vikali na adui ni wengi (weafeso 6:12). Vita hivi huko juu zaidi ni dhidi ya Mungu na shetani. Malaika watakatifu na malaika-daimoni na mapepo. Tena ni vita kati yetu na pepo wambaya sana (Yuda 1:9) Vita vyetu ni tatu; majaribu ya adui na mitego, uadui wa dunia hii na vita vya dani juu ya mwili (Yohana 15:18) Watu kama Himenayo na Iskanda (Hymenaeus and Alexander) walipotea katika bahari ya Imani. Himenayo aliangamia kwa kuacha ukweli wa neno la Mungu juu ya ufufuo– kiyama ya wafu (II Tim.2:17-19). Iskanda alipinga sana neno la Mungu (II Tim.4:14-15)
Hebu tuone hatua tano za kujilinda na kuangamia kiroho:-
I. SHIKA SANA NENO LA MUNGU (V.18)
II. FIKA KIWANGO CHAKO (V.18)
III. VIPIGE VILE VITA VIZURI (V.18)
IV. LINDA SANA IMANI (V.19)
V. UWE MWAMINIFU (V.19)
VI. MATOKEO YA KUMWACHA MUNGU (V.20)
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…