WAEBRANIA 12:12-17
UTANGULIZI
Mwandishi wa waebrania anataka tuweze kufahamu kwamba safari ya Imani ni ngumu na ni vyema kuelewa na binu za kumaliza vyema. Mtume Paulo alijua kwamba mtu anaweza kuanza vyema lakini mwisho wake kutupwa inje. Hivyo katika Waebrania 12, mtume ametueleza kwa maisha dani ya Kristo ni kama jinsi mbio za masaba marefu yaani Marathoni. Ni lazima kuweka uzito na dhambi mbali nasi, huku tukimtizama Yesu Kristo na kustahimili mpaka mwisho. (I Wakorintho 9:27)
Hebu tujifunze:-
I. KWANZA, INYOSHENI MIKONO ILIYOLEGEA NA MAGOTI YALIYOPOOZA (V.12)
II. PILI, MKAIFANYIE MIGUU YENU NJIA YA KUNYOKA (v.13)
III. TATU, TAFUTENI SANA KWA BIDII KUWA NA AMANI NA UTAKATIFU (v.14)
IV. NNE, USIPUNGUKIWE NA NEEMA YA MUNGU (v.15)
V. TANO, SHINA LA UCHUNGU LISIJE LIKACHIPUKA NA KUWASUMBUA WATU WENGI.
VI. SITA, USIDHIHAKI MAMBO NA NENO LA MUNGU (v.16-17)
MWISHO
¨ Hata wewe na mimi tunaweza kumaliza vyema.
¨ Hakikisha umeokoka na unapita katika njia iliyonyoka.
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…