JINSI YA KUSHINDA UCHAWI

SOMO:  WAGALATIA 3:1-14

UTANGULIZI

Kila eneo la inchi linao nguvu za shetani zinazo ishi pale.Mishale ya shetani pia (Satanic Bullets) inabandilika kulingana na eneo. Paulo aliwaeleza watu wa Galatia kwamba walikuwa wamerogwa, kwa maana walianza vizuri katika Roho Mtakatatifu, baadaye wakawa watu wa mwilini.

Hebu tuone:

I.   MAANA YAKE KUROGWA.

  • Hii ni hali ya kupewa maovu ya kuendelea juu ya mtu.
  • Hii ni hali ya kuwa chini ya mamlaka na nguvu za shetani juu ya mtu.
  • Katika (wagalatia 3:10 Paulo anatumia neno “Kuroga” kuonyesha hali ya kutolewa kwa njia kweli na kuelekezwa kwa njia ya uovu.
  • Paulo anawaeleza Wagalatia kwamba wamefanyika kuwa wajinga hau kukosa akili.
  • Paulo anawaeleza wagalatia kurogwa ni kuacha njia ya utii na kweli.
  • Kurogwa ni kufugwa macho , hili mtu hasione Baraka zake.
  • Kuroga ni kutumia nguvu za uchawi hili kufanya mtu mtumwa na kumwelekeza kwa njia ya upotovu.
  • Kuroga nikuweka vikwazo katika njia ya wenye haki (Hesabu 22:1-24)
  • Njia ya Balaamu mwana wa Beori alikuwa mrogi. (II Petro 2:15-16)
  • Urogi na uchawi utatumiwa kuroga watu, vitu na mahali, nyumba, miti, wanyama etc.
  • Uchawi pia unatumika kulaani, watu na vitu.
  • Hivyo mtu amerogwa anatembea katika uongozi wa ovu.
  • Hivyo mtu amerogwa hawezi kusikiza ushauri bora, hivyo mtu huyo anaishi katika makosa.
  • Mtu amerogwa huwa anaishi maisha ya kuchanganyikiwa, uchovu, fadhaha, mateso, utupu na hali ya kutojidhabiti mwenyewe.
  • Mtu wakurogwa husikiza sauti za adui hivyo anakaa katika ajali, kupoteza, mali, cheo, heshima na afya.
  • Kuna mtu alioa wanawake 19, wote wakifa hata hivyo wanawake walikuwa wakimfuata kwa sababu ya magari yake.
  • Wenye kuroga wanaitwa warogi na wachawi (Zaburi 69:23-28)
  • Warogi na wachawi wanatumia nguvu za shetani hivyo ni lazima kuvuja vichwa vya shetani.
  • Kuna mtu alirogwa kutokamilisha mijengo yake saba !!
  • Inchi inaporogwa haiwezi kuzalisha mimea, hivyo upako unavunja hizo laana.
  • Ndoa yako inaweza kurogwa na kufungwa na kufuli
  • Kutangatanga katika ndoa moja hadi nyingine ni kurogwa.
  • Kulishwa usiku ni ishara ya uchawi.

II.  JE, TUTAWASHINDA WACHAWI AJE ?

  1. Kusoma neno la Mungu (Waefeso 6:17)
  2. Ishi katika utakatifu, linda maisha na vitu vyako.
  3. Fanya maombi ya nguvu na moto moto

III. JE, MAOMBI NA HUDUMA YA MAOMBI NI NINI ?

  1. Haya ni maombi ya nidhamu kuu.
  2. Haya ni maombi ya machozi
  3. Haya ni maombi ya mzigo
  4. Haya ni maombi ya kufunga na kukesha
  5. Haya ni maombi ya upekee (Yakobo, Hanna)
  6. Haya ni maombi ya kujitoa
  7. Haya ni maombi ya vita kuu.
  8. Haya ni maombi ya kufungua na kufunga, na kuharibu. (Bind, loose, spoil)

 

MWISHO

Omba:

  • Ninavunja kila nguvu za uchawi juu ya maisha yangu- Katika Jina la Yesu Kristo
  • Kila mti wa uchawi ni na kung’oa katika Jina La Yesu.
  • Kila uchawi na laana zake nina kutuma kwa aliye kutuma kwangu– Katika Jina La Yesu Kristo.
  • Ninajifungua kutoka kwa kila kazi ya giza juu ya miasha yangu katika jina la Yesu Kristo.

 

 

The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Rev, DR. Willy Mutiso

Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

View Comments

Recent Posts

MSAADA WA MUNGU WAKATI WA MATESO.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1.   Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada…

3 weeks ago

GOD GUIDES OUR DESTINIES.

SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: PROVERBS 3:5-6.   Every destiny is a divine…

3 weeks ago

PUT OFF AND PUT ON

SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: Colossians 3:5-10   We have put off the…

3 weeks ago

GOD OF THE BREAKTHROUGHS

SERIES: THE GOD WE SERVE TEXT: 2nd SAMUEL 5:17-20   Breakthroughs are divine interventions that…

4 weeks ago

WHO IS SPEAKING TO YOU?

SERIES: DRAWING NEAR TO GOD TEXT: LAMENTATIONS 3:37 It reminds believers that God's word alone…

1 month ago

CHECHEA MSHINDI ALIYE NDANI YAKO.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4.   Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa…

1 month ago