Categories: Swahili Service

JINSI YA KUVUA MIZIGO YAKO

SOMO: WAFILIPI 3:13-14.

 

Katika siku hizi za mwisho, watu wamebeba na kubebeshwa mizigo zaidi. Je, utafanya nini? Je, utaongea na pasta wako, rafiki yako au utamwendea mshauri wa kulipa?

Katika Wafilipi 3:13-14, Mtume Paulo anatueleza jinsi ya kutwika mizigo yetu nzito kwa Mungu. Je, nitafanya nini na mizigo yangu nzito?

SAHAU NA SAMEHE YALIYO NYUMA-Vs. 13.

  • Je, utafanya nini na mizigo yako?
  • Sahau na samehe yaliyopita, makosa, kuanguka, mikosi ya maisha.
  • Sahau na samehea waliokutesa, waliokudanganya.
  • Sahau na samehea waliokupora mali na kukusumbua.
  • Yusufu alisamehea ndugu zake. Huko Misri alisahau shimo waliomtupa, alisahau jinsi walimuuza kwa Waishmaeli.
  • Yusufu alisahau mke wa Potiphah, alisamehea marafiki wake waliomwahidi kumtendea mema, lakini wakamsahau-Mwanzo 50:18-26.
  • Nawe sahau na usamehe yaliyopita.

CHUCHUMULIA YALIO MBELE.

  • Je, utafanya nini na mizigo yako inayokulemea?
  • Chuchumilia yalio mbele yako, usifikiri juu ya yale yamepita, usiyaongee, usiyaongee mbele za watu kama hadithi ya kukariri.
  • Katika maisha haya kunao mambo mengi mbele yako, yakufanya, ya kuona, ya kufurahia.
  • Tazama ya mbele-ona mbele yako.
  • Watu wakikuletea yalio nyuma yako waeleze kwamba wewe ulienda mbele (I have moved on)-Wafilipi 3:7-12.

KAZA MWENDO-MTAZAME KRISTO-Vs. 14.

  • Je, utafanya nini na mizigo yako ya kale?
  • Mtazame Kristo, wacha Kristo awe katika maisha, roho, nyumba yako na tabia yako-Vs. 14.
  • Mtazame Kristo, chuchumilia yalio mbele yako.
  • Kuna yale yalifanyika katika maisha ya hawali lakini yakubali, yasahau, enda mbele (Accept, Adjust, Advance-A.A.A).
  • Mtazame Mwokozi anapoongoza.

MWISHO

  • Je, utasahau, utasamehe, utaenda mbele?
  • Mbele kunao Yesu Kristo, kunao makuu usiyoyafahamu sasa.
  • Muulize Yesu Kristo ni yapi mapya kila siku ya maisha.
  • Toa mzigo wako kwa Yesu Kristo leo.
The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Rev, DR. Willy Mutiso

Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Recent Posts

CHRISTMAS: THE BIRTH THAT BROKE EVERY BONDAGE

TEXT: LUKE 2:1-14.   The birth of Jesus Christ shattered spiritual, social and eternal barriers,…

2 days ago

CHRISTMAS: WHY DID CHRIST COME?

TEXT: JOHN 3:16-17.   Christmas unveils the divine mission behind the birth of Jesus Christ;…

2 days ago

KRISMASI MAANAKE NI FURAHA KWA DUNIA YA DHIKI NA SHIDA

MFULULIZO: KRISMASI NI KUFUNULIWA KWA YESU KRISTO.  SOMO: LUKA 2:8-14.   Krismasi inafunua jibu la…

5 days ago

CHRISTMAS IS WHEN HEAVEN CAME DOWN TO EARTH.

SERIES: CHRISTMAS IS CHRIST. TEXT: JOHN 1:1-14.   Christmas is the divine moment when God…

6 days ago

FOR GOD SO LOVED THE WORLD

TEXT: ISAIAH 53:1-12.   The son of man came to seek and save that which…

6 days ago

JESUS OUR SAVIOR

SERIES: CHRISTMAS IS JESUS CHRIST. TEXT: MATTHEW 1:21   Jesus Christ is the savior of…

2 weeks ago