JINSI YA KUVUNJA MIAVULI YA UOVU KIROHO

MATHAYO 11:12   

UTANGULIZI

Hatima ya mtu inapokuwa tisho kwa adui lazima hatima hiyo kushambuliwa. Wakristo wengi wanashangaa kwa nini vita vya kiroho ni nyingi kwao. Unaposhambuliwa na sheatni unahitaji kumsifu Mungu kwa sababu kuna kitu cha maana dani ya maisha yako cha kupiganiwa. Wengine hawana vita kwa maana hakuna cha kushindania dhidi ya maisha yao. Pamoja na wokovu , Mungu ametupa silaha nyingi za vita. Hata ingawa vita vilishindwa miaka 2000 iliyopita, bado shetani hako vitani na watakatifu. Katika Mathayo 11:12 “Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa, ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka”.

Haijalishi yale unayapitia, hau ni nani amekunyemelea, tunahitaji neno moja tu kutoka mbunguni na dhoruba yako ikatulia, waliokukamata hata wao Bwana atawakamata. Chochote shetani amepanda ndani ya mwili, tumbo, roho na uzima wangu  ninasukuma inje, katika Jina La Yesu. Kila roho ya kutokubalika ndani ya maisha yangu, toweka katika Jina La Yesu. (Zaburi 94:21-23)

I.  MWAVULI NI NINI ?

  • Mwavuli ni ngao ya kujikinga kutokana na hali ya anga. Mwavuli unazuia miali ya jua hata mvua. Hivyo mwavuli wa Roho inasaidia kutokana na hila za shetani. Lakini Mwavuli pia unaweza kutumika kwa kuzuia Baraka za Mungu kwako.

II.  HAINA ZA MIAVULI YA KIROHO

  1. Kuna mwavuli nzuri ya kiroho
  • Mwavuli huu unasaidia kutokana na hila za shetani na adui zetu.
  1. Kuna mwavuli mbaya Kiroho
  • Mwavuli huu huzuia mtu hasipate baraka za Mungu.
  • Pamoja na Kupata Mafunzo na neno la Mungu, mwavuli mbaya unakukinga ili husipate baraka.
  • Haijalishi, pamoja na rotuba nzuri na mbegu nzuri shambani, pasipo na Mvua, hakuna mazao.
  • Pamoja na Kuomba na kukesha, kuishi maisha matakatifu panapo mwavuli mbaya kiroho, baraka zako zina zuiliwa na mwavuli.
  • Pamoja na kuokoka tunahitaji ukombozi kutokana na miavuli ya kiroho.
  • Kuokoka hakuwezi kukuzuia na vita vya kiroho (Yohana 16:33)
  • Kuokoka kunasaidia kupambana na dhoruba za maisha.

III. MILANGO YA MWAVULI YA UOVU.

  1. Dhabi na uasi.
  2. Jinsia ya mateso ndani ya roho
  3. Laana za kupokea kutokana na jamii.
  4. Matendo ya mwili, nyimbo za dunia na mavazi.
  5. Vyombo vya ushavu nyumbani kwako.
  6. Kukosa kutoa fungu la kumi
  7. Kukosa msamaha wa dhambi.
  8. Ibada za sanamu.

Shida kubwa ya Afrika ni ibada za sanamu (Kutoka 20:3-5; Isaya 19)

 

IV. JINSI YA KUTOA MIAVULI YA UOVU.

  1. Tubu dhambi zote unazofahamu, kila tendo la giza ni mwavuli tosha ya uovu (repentance and confession )
  2. Ufahamu wa ndani (Discernment )
  • Pepo wengi wanaishi kwa kutojitambulisha.
  1. Vumilia sana—Ukombozi unachukua wakati mwingi sana unapokuwa na vita nyingi, lazima kupigana vita moja kwa wakati wake. (Persistence )
  2. Tumia nguvu– violence. Maombi ya nguvu na vita ndio njia.
  3. Okoka kwa ukamilifu (Full salvation)

 

MWISHO

Omba:

  1. Chochote kinachozuia kupokea baraka za Mungu na kupata mbingu wazi, Shindwa sasa, Katika Jina La Yesu.
  2. Kila Mwavuli ya giza ndani ya maisha yangu, shindwa, katika Jina La Yesu.
  3. Kila baraka ninaopokea kutoka mbinguni, itadhimbitika, Katika Jina La Yesu Kristo.
  4. Kila Mwavuli ovu juu ya maisha yangu na maendeleo ya jamii yangu, Vunjika sasa, Katika Jina La Yesu Kristo.

 

The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Rev, DR. Willy Mutiso

Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Recent Posts

MSAADA WA MUNGU WAKATI WA MATESO.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: ZABURI 46:1.   Biblia inatuakikishia kwamba Mungu wetu ni “Msaada…

2 weeks ago

GOD GUIDES OUR DESTINIES.

SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: PROVERBS 3:5-6.   Every destiny is a divine…

2 weeks ago

PUT OFF AND PUT ON

SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: Colossians 3:5-10   We have put off the…

2 weeks ago

GOD OF THE BREAKTHROUGHS

SERIES: THE GOD WE SERVE TEXT: 2nd SAMUEL 5:17-20   Breakthroughs are divine interventions that…

3 weeks ago

WHO IS SPEAKING TO YOU?

SERIES: DRAWING NEAR TO GOD TEXT: LAMENTATIONS 3:37 It reminds believers that God's word alone…

4 weeks ago

CHECHEA MSHINDI ALIYE NDANI YAKO.

MFULULIZO: MAISHA BILA VIZUIZI. SOMO: 1 YOHANA 5:4.   Wakristo wengi wanaishi maisha ya kushindwa…

1 month ago