SOMO: I SAMWELI 1:1-10.
UTANGULIZI
Matusi ya Penina kwa Hanna yalikuwa mpango wa Mungu kuelekeza Hanna kwa ushindi na hatima yake. Hivyo Hanna mshukuru Penina katika maisha yako. Jumapili ya jana tuliona kwamba Hanna hakuwa na binu za kutazama kando, lakini alipotazama Juu na Mbele, Bwana alimjalia na kuyajibu maombi ya moyo wake. Samweli wa Kwanza inatueleza kisa cha Elkana na jamii yake. Elkana alikuwa na wake wawili. Penina maana yake ni Mrembo (beautiful). Hanna maana ya jina ni Kibali hau Neema. Tunapoishi katika njia ya haki, hata ingawa kuna watu wengi warembo kukuliko, hata wajalipo kuwa na nguo zuri kuliko wewe, Neema na Kibali cha Mungu itakuelekeza kwa hatima yako katika Jina la Yesu. Penina alikuwa na watoto waume na wake. Hanna alikuwa akitafuta mtoto moja tu. Tunafanyaje wakati Adui zetu wanafanikiwa Zaidi kuliko sisi ? Kuchelewa si kunyimwa !!
Hebu tuone masomo kadha:-
II. Somo 2: KUFUNGWA TUMBO SI UTASA
III. Somo 3: MATUSI YA PENINA YALIPANGWA NA MUNGU.
IV. Somo 4: MATUSI YA PENINA YALIMPELEKA HANNA KUOMBA.
V. Somo 5: KUFUNGWA TUMBO YA HANNA KULIKUWA KWA MUDA NA KWA SABABU.
MWISHO
¨ Nani atakuwa na kicheko cha mwisho– Hanna.
¨ Nani atawacheka Adui zake– Hanna.
¨ Nani tunayehubiri leo– Hanna.
¨ Penina alikwisha hivyo, Hanna hajakwisha hata hivi leo. (Isaya 41:11-12, 50:8-9)
¨ Je umecheleweshwa, Je mlango wako umefungwa ? Mungu atafungua tumbo lako katika Jina La Yesu.
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…
View Comments
This message was made for me to encourage me and it came at the ideal time in my life.
The Lord will use Penninah to draw 0ur attention to him. Am blessed.