ZABURI 5:12
UTANGULIZI
Kitu kimoja kinachoweka wakristo wengi katika utumwa ni kutofahamu haki. Mtu anapookoka Mungu anamhamisha kutoka giza na kumweka kuwa kiumbe kipya. Mtu huyu anaingia katika ufalme wa Mungu na kuwa Mwana wa Mungu na Hivyo mrithui wa Mungu pamoja na Kristo Yesu. Mtu aliyeokoka amekuwa mtoto wa Mungu, hivyo uhusiano mpya upo, hivyo kila mwana wa Mungu anapata haki na uhuru wa kuwa mwana. Katika uhusiano huu mpya mwenye haki anapata kibali kwa Mungu. Mungu yuko tayari kubariki kila mwenye haki na pia kumlinda kupitia kibali chake. Kibali cha Mungu kinapokuwa juu ya Mtu, Mtu huyo atalindwa na upizani wowote wa mwanadamu. (Daniel 1:9). Baadaye, Daniel alipandishwa cheo hadi waziri mkuu katika inchi ya kigeni.
Hebu tujifunze:-
I. MAANA YA KIBALI CHA MUNGU
II. MWELEKEO WA KIBALI CHA MUNGU.
III. KIBALI KINAPO HARIBIKA.
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…