I MAMBO YA NYAKATI 12:32; UFUNUO 1:8; MATHAYO 6:34

UTANGULIZI

Maisha ni hesabu ya nyakati vupi. Kufaulu ni kuishi kila wakati kulingana na mapenzi ya Mungu.

Hebu tujifunze:-

I.  KUJUA NYAKATI ZETU (Mambo ya nyakati 12:32)

  • “Wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende.”
  1. walijua nyakati walizoishi . Ikiwa hatufahamu mila, mapokeo na shida za kizazi chetu, basi tutakuwa watumwa wa nyakati zetu.
  2. Walijua jinsi neno la Mungu lilipenda wafanye kwa Israeli.– ikiwa hatufahamu neno la Mungu, hatuta fahamu yaliyo mapenzi ya Mungu kuyafanya.
  3. Walijua jinsi Israeli inapaswa kumuishia Mungu,- I kiwa hatujui jinsi Mungu anapenda tumuishie,basi tutaishi maisha ya ubinafsi na kuishia tamaduni zetu.
  4. Walimjua Mungu wa Isreali. Ikiwa hatumjui Mungu kwa maandiko na ujuzi hatuwezi kufanya mema

II. KUJUA NYAKATI ZA MUNGU (Ufunuo 1:8)

“Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na mwisho,    asema Bwana Mungu, aliyeko, na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi”

  1. Unapomjua Mungu, basi utajua umetoka wapi, kwanini uko hapa duniani na uendako.
  2. Unapomjua Bwana, unakuwa mkweli na unapata ujasiri wa kweli.
  3. Unafahamu kwamba, Mungu anasimama kati ka njia panda ya kila uamuzi, hivyo unapata hekima yake kuamua na kufanya uamuzi wa kweli.
  4. Nyakati zote ni za Mungu, hivyo ametupa wakati kufanya mapenzi yake.

III. KUJUA NYAKATI.

  1. Leo ndiyo siku iliyo jema zaidi katika maisha yako. Leo ndio kesho uliyoota jana. Leo inahesabika!
  2. Ikiwa huna furaha, hautakuwa na furaha kesho.
  • Ikiwa hautatumia leo vizuri, hautafurahia kesho.
  • Hauwezi kujenga juu ya musingi wa jana iliyo kuwa tupu.hivyo leo inahesabika.
  1. Mungu amekupatia kipawa cha wakati, Leo inahesabika.
  2. Jana ndiyo shule iliyokufunza jinsi ya kuishi leo. Leo ni shule yako juu ya kesho. Ikiwa jana haukusoma, basi soma leo kwa ajili ya kesho
  3. Watu wa haina tatu; (1). wasiojua yanayotendeka duniani (2). wanaojua (3). wanaofanya mambo duniani

IV.  KILE JANA INAFANYA

  • Jana inakufundisha kuwa na matumaini ya kweli.
  • Jana inatufanya kuwa na matumaini na malengo bora.
  • Jana inakupa musingi imara kufikia wakati unao kuja yaani future
  • Jana inakueleza kufahamu milango wazi na milango iliyofungwa.
  • Jana inakufundisha na kukueleza wewe ni nani na kile unaweza kufanya

KESHO NAYO;

  • Kesho inazo nguvu nyingi kwa maisha yako.
  • Kila moja ataishi kesho, ndoto zetu za kesho zinatupa nguvu kuishi leo.
  • Ndoto zinafanya wengine kufanya bidii.
  • Ndoto zinafanya wengine kufumilia.
  • Ndoto zinafanya wengine kumtengemea Bwana.
  • Ndoto zinafanya wengine kujificha katika pango za maisha.

LEO NAYO

  • Leo ni jambo ya haraka. Ndoto za kesho zina tupa nguvu za kuishi, jana inatupatia msingi imara, hivyo leo ndiyo wakati wako wa hakika.
  • Hivyo siku ulionayo kuishi ni leo– kesho ni ndoto.
  • Leo tunatumia nguvu za tumaini, kiasi, kijitoa kehesabika (write it, say it, do it)
  • Hivyo, leo ndiyo fursa ya kuishi, kesho ni ndoto na ahadi.
  • Usijali ya kesho- (Mathayo 6:34). Jana imepita, -Leo ndiyo inahesabika!
  • Hivyo, kesho si kama jana, kesho haitakuwa kama unavyotarajia

WANA WA ISAKARI

  1. wana wa Isakari hawakujali jana, hau kufahamu ya kale.
  2. Wana wa isakari hawakusema wanafahamu sana ya kesho.
  3. Wana wa isakari walijua nyakati zao– siku yao ndiyo ilihesabika (leo)
  4. Husiishi leo ndoto za kesho, kwa sababu hutakuwa na nguvu za kuishi leo.

WAZA YA MBINGUNI

  • Mbinguni hakutakuwa na majuto juu ya jana (Ufunuo 21:4)
  • Mbinguni tutafanana na Kristo (I Yohana 3:2, ufunuo 22:4)
  • Daudi alijua nyakati zake (Matendo 13:36)

 

MWISHO

  • Wana wa isakari walikuwa na akili za kujua nyakati.
  • Elewa na nyakati na majira yako (2 Tim.3:1-7)
  • Kama bado hujaokoka liitie jina la Bwana leo ndio siku ya kiokoka.

 

 

The following two tabs change content below.
Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Latest posts by Rev, DR. Willy Mutiso (see all)

Rev, DR. Willy Mutiso

Rev, Dr. Willy Mutiso is the Senior Pastor at First Baptist Athiriver. He is widely known for his practical and dynamic teaching style which helps people apply the timeless truths of Scripture to their everyday lives.

Share
Published by
Rev, DR. Willy Mutiso

Recent Posts

DAMU YA UTAKASO.

MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13.   Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…

11 hours ago

KEY TO DIVINE SPEED.

SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19.   The journey of fulfilling your destiny does not…

13 hours ago

BE YE THANKFUL TO GOD.

SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15   Thankfulness is a great attitude…

15 hours ago

LEVELS OF THE ANOINTING.

SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5   There are levels of the anointing and each…

4 days ago

UMETAKASWA KUPOKEA KIBALI.

MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18.   Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…

1 week ago

THE GOD WHO SHIFTS THE HEAVENS IN YOUR FAVOR.

SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9.   God has the power to…

1 week ago