MFULULIZO: YAKOBO; ALIFANYA MIEREKA NA MUNGU.
SOMO: MWANZO 28:1-22
Kwa kila machweo ya jua kunayo macheo. Yakobo aliota ndoto inayotuweka moyo mkuu kumtegemea Mungu wakati wa magumu na nyakati za shida katika maisha yetu. Hebu tuone ndoto aliyopata Yakobo. Je, wewe unapitia katika machweo katika maisha? Pengine ulikuwa na matarajio mengi ya juu sana kwa maisha yako lakini sasa ndoto zako zimegonga mwamba. Umetazama na kumbe uko mbali sana na ahadi na sasa maisha yako katika machweo na mwisho wa siku yako. Leo niko hapa kueleza kwamba katika giza na usiku wako Mungu angali hapa. Mungu anao uwezo wa kuyageuza mambo kwa sababu kila machweo kunao macheo. Katika Mwanzo 28 Yakobo amemdanganya ndugu yake Esau urithi. Sasa Esau yuataka kumuua Yakobo. Hebu tuone:-
YAKOBO ALITOROKA KUTOKA NYUMBANI.
BARABARA YA KWENDA HARANI
NGAZI KUTOKA MBINGUNI MPAKA DUNIANI
TAFSIRI YA NDOTO YA YAKOBO
MADHABAHU NA NADHIRI- Mwanzo 28:20-22
Basi;-
Leo hii Yesu Kristo ndiye daraja ya kwenda mbinguni. Yesu Kristo ndiye ngazi ya mbinguni.
Yesu Kristo ndiye jibu la maombi yetu na suluhisho ya kila shida tulionayo.
MWISHO
TEXT: LUKE 2:1-14. The birth of Jesus Christ shattered spiritual, social and eternal barriers,…
TEXT: JOHN 3:16-17. Christmas unveils the divine mission behind the birth of Jesus Christ;…
MFULULIZO: KRISMASI NI KUFUNULIWA KWA YESU KRISTO. SOMO: LUKA 2:8-14. Krismasi inafunua jibu la…
SERIES: CHRISTMAS IS CHRIST. TEXT: JOHN 1:1-14. Christmas is the divine moment when God…
TEXT: ISAIAH 53:1-12. The son of man came to seek and save that which…
SERIES: CHRISTMAS IS JESUS CHRIST. TEXT: MATTHEW 1:21 Jesus Christ is the savior of…