I TIMOTHEO 2:9-15
UTANGULIZI
Kuna maono mengi sana juu ya mahali pa mwanamke kanisani na katika maisha. Kuna wanaume wanao fikiri mahali pa mwanamke ni chini ya miguu yao, lakini hayo si mafundisho ya Biblia. Wanaume wengine wanapanga mwanamke sehemu yake ni kukaa na kwenda bila viatu na kila wakati kuwa na mimba (barefoot and pregnant) lakini hayo si mafundisho ya Biblia. Mimi nawapongeza wanawake wote na zaidi wanawake wa FBC/AR. Kuna shule mbili duniani, hizi shule za mawazo zinatawala juu ya kazi na sehemu ya wanaume na wanawake.
Dhambi ilipoingia duniani kazi na wajibu wa mume na mke ilibadilika– lakini si mbele ya Mungu– lakini mbele ya wanadamu (Mwanzo 3:16)
Dhambi ilifanya mwanamke kuwa mshinani na mpizani. Mwanamke sasa, mapenzi yake ni kumtawala mume. Dhambi ilimfanya mwanamme mtawala kuwa mkali juu ya mke, hivyo mwanamme mapenzi yake ni kutawala kwa nguvu zote (domineering and absolute control) Haya hayakuwa mapenzi ya Mungu kamwe.Mwanamke alitolewa kutoka mbavuni, si miguu hili kukanyangwa, si kichwa hili kutawala, lakini karibu na moyo ili mume ampende na kumlinda mkewe. katika ulimwengu wa kale, wanawake hakuwa na haki, lakini walikuwa mali ya wanaume– ngumu sana. Katika Uyahudi wanawake walikuwa sawa (Kumbu.1:1, Kutoka 21:28-32) wanawake walikuwa na haki ya mali (Hesabu 36:12) Ibada (Kutoka 12:3,Kumbu 16:9-15) Nadhiri (Hesabu 36:12) kazi (Kutoka 38:18, Neh.7:67). Mungu alifanya kazi moja kwa moja na wanawake (Mwanzo 3:13, 16:7-13, Waamuzi 13:3) Injili ilipokuja , mahali pa wanawake ilikuwa juu zaidi.
Hebutuone:-
I. MWANAMKE WA KIUNGU NA USHUHUDA WAKE (I Tim.2:9)
Paulo alimwandikia Timotheo akiwa pale Efeso.
II. MWANAMKE WA KIUNGU NA MAFUNDISHO YAKE (11-12)
III. MWANAMKE WAKIUNGU NA KAZI ZAKE
Mwanamke awe mwenye ibada (I Wakorintho 11:2-16)
Mwanamke awe mfanya kazi wa Mungu (Warumi 16:1)
Mwanamke awe mshahidi (I Petro 3:1)
Mwanamke askari wa Kristo (Matendo 1:4; 12:2) na zaidi katika maombi.
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…
View Comments
Well explained