LUKA 10:39
UTANGULIZI
Mariamu wa Bethania alikuwa dada mkubwa wa Martha na Lazaro. Huyo mariamu aliabudu kwa miguu ya Kristo. Yeye anaitwa Mariamu wa Bethania. Bethania ni Kijiji karibu na mji wa Yerusalemu. Nyumba ilikuwa ya Martha pengine Martha alikuwa mjane. Martha ni yeye alaiyemualika Yesu Kristo kwake (Luka 10:38) pengine Mariamu alikuwa ndiye dada mkubwa kwa maana jina lake lametajwa kanza. Yesu alikaa kwa jamii hii wakati ametembelea Bethania.
I. IMANI HUTAFUTA UWEPO WA YESU KRISTO (10:39)
II. IMANI INAMCHANGUA YESU KWANZA.
III. IMANI INAMSIKILIZA YESU KRISTO (Luka 10:39)
IV. IMANI HULETA MASWALI KWA YESU KRISTO (Yohana 11:32)
V. IMANI INAABUDU KWA SIFA NA SHUKRANI.
VII. IMANI UPATA DHAWABU (Luka 10:41-42)
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…