SOMO: LUKA 8:1-3, YOHANA 20:11-18
UTANGULIZI
Mariamu Magdalene ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye shetani alikuwa amemuharibu kabisa. Lakini baada ya kuponywa na Yesu Kristo, Mariamu Magdalene alitumiwa na Mungu Zaidi. Mariamu Magdalene alikuwa mtu wa mwisho msalabani (Marko 15:47)
Mariamu Magdalene ndiye mtu wa kwanza kaburini mwa Yesu Kristo.(Yohana 20:1). Marimau Magdalene ndiye wa kwanza kuhubiri habari njema ya kufufuka kwa mwokozi (Mathayo 28:8). Mariamu Magdalene alikuwa katika maombi ya kwanza (Matendo 1:14). Mariamu Magdalene alikuwa chombo cha shetani hapo awali (Pepo saba) (Luka 8:1-2). Mariamu Magdalene aliokoka (Luka 8:3). Mariamu alimtumikia Kristo (Luka 8:3). Mariamu alikuwa mhubiri wa injili (Yohana 20:11-18). Maana yake ni Kinara (watch tower). Imani ya kweli inamfuata Kristo-
Hebu tuone:-
I. WALIOPONYWA WANAWAPONYA WENGINE (Healed people Heal Other people)
II. WALIOPONYWA HAWANA KITU CHA KUFICHA NA KULINDA (Healed people don’t have an image to protect)
III. WALIOPONYWA WANAMTUMIKIA KRISTO NA MALI ZAO.
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…