SOMO: ZABURI 121:1-8
UTANGULIZI
Dunia hii ni mahali pa vita kali. Bila msaada kutoka juu tutashindwa kabisa, tuta shushwa na kupata aibu, pasipo msaada kutoka juu watu watakusahau na kukuacha. Tazama maisha ya Yusufu (Mwanzo 40:9-14). Yusufu alitarajia msaada kutoka kwa mwanadamu, lakini huyu mtu alimsahau Yusufu. Yusufu alikuwa amemwomba mambo mawili;
Lakini huyu mkuu wa wanyweshaji hakukumbuka Yusufu, alimsahau.
Ni maombi yangu wewe na mimi tutakumbukwa na Mungu na watu leo.
Baadaye huyu mtu alimkumbuka Yusufu kwa uwezo wa Mungu. Mungu atawalazimisha watu wakukumbuke.
Hebu tuone:-
I. MSAADA WA MUNGU UNASHINDA VITA VYA MAISHA (Waamuzi 5:20, Isaya 50:9)
II. NGUVU ZA MUNGU ZINAFANYA KAZI KATIKA KILA ENEO LA MAISHA ( II Mambo ya Nyakati 26:15)
Þ Nguvu za fedha.
Þ Nguvu za kusoma
Þ Nguvu za Kiroho
III. MSAADA WA MUNGU UNAFUNGUA MLANGO WA WASAIDIZI (I Mambo Ya Nyakati 12:16-18)
IV. MSAADA WA MUNGU UNAZUIA AJALI NA MIKOSI (Zaburi 121)
MWISHO
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: KUTOKA 12:12-13. Damu ya Yesu Kristo ndiyo mhuri wa…
SERIES: SUPERNATURAL ADVANCEMENT. TEXT: HABAKKUK 3:19. The journey of fulfilling your destiny does not…
SERIES: THROUGH THE BOOK OF COLOSSIANS. TEXT: COLOSSIANS 3:15 Thankfulness is a great attitude…
SERIES: THE ANOINTING. TEXT: EZEKIEL 47:1-5 There are levels of the anointing and each…
MFULULIZO: AGANO LA UTAKASO. SOMO: ESTA 2:15-18. Kibali cha Mungu ndicho kinacho watenga watoto…
SERIES: THE GOD WHO NEVER FAILS. TEXT: HAGGAI 2:6-9. God has the power to…
View Comments
Powerful message ,am really blessed. My God bless and strengthen you as you continue preaching His word to His people.